Sina raha na dunia hii tena

Duu! jamaa ni chuo gani hicho upo maana ungekuwa kama upo M ungekuwa umesha Disco kitambo tu!
 
Kifungoni ulijingiza mwenyewe tafuta namna ya kutoka.
Hivi sikuhizi watu wanashindwa kufanya maamuzi madogo madogo IPO siku utaingia chooni kujisaidia utaomba ushauri wa kuchamba vipi.
 
Kivipi mkuu nieleweshe nielewe asee
Usiwe kama mtoto wa kike wewe,love should never be your first priority utapotea...unahairisha mtihani sababu umekosa mood ya kusoma.. phuck love soma ama disco inakuita
 
Unafel exam kwa sababu ya mapenz we kwel mbululaa fanya kilichokupeleka shule dogo mtaan maisha magumu bila skul
 
Enyi vijana sikilizeni,
Mnapokua masomoni,
Acheni mchezo wa mapenzi,
Mnawapa shida wazazi wenu
 
Kwasasa wewe ni Dhaifu
Ukikua akiliitakuingia..wanawake wapo Lundo ww endelea poteza wakati
 
Mkuu hiyo hali mimi ilinipata kipindi nafanya masters shule ilikuwa ngumu halafu binti anataka kukaba mpaka penalt aiseeee niliambiwa chagua kudhalilika shule au kuendelea na msichana wako nikaona kabisa shule ndio kila kitu now nakula kuku wanakuja kama kumbi kumbi
 
Assante mkuu now nimekubari kuanza maisha mapya yaani ni shule tu MUNGU niongoze juu ya maamuzi haya amen
 
Usipojua kati ya shule na Mpenzi nani muhimu kwako kwa wakati huu basi hata tufanyaje bado unaweza kosea au pairs! don't feed your hunger feed your Vision
 
Assante mkuu now nimekubari kuanza maisha mapya yaani ni shule tu MUNGU niongoze juu ya maamuzi haya amen



Mkuu na umwamba wangu wote kwenye makaratasi nilikuwa naona kabisa dalili za kudhalilika achana na hao wadudu wewe mpuuze tu mbona utaenjoy maisha sana
 
We nipm namba ya huyo msichana nikutatulie matatizo yako akiangukia mikononi mwangu hatakaa harudi kwako tena Na tatizo lako litakua limeisha milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…