Talking from the heart?...manake inasadikika kuwa ni ngumu she kumsifia another she!!!
Mbona wa kawaida sanaaaaaa...Hizo ni nguo tu,piga picha amevaa baibui, je utakomaa hivyo?
we waonekana ntu bara tu, sisi wataalam twamjua mwananke mrembo hata akiwa gubigubi..kalagabaho!Mbona wa kawaida sanaaaaaa...Hizo ni nguo tu,piga picha amevaa baibui, je utakomaa hivyo?
Wanaume Sote!
Hao ndiyo wanamchanganya Sheick...
Yalaaah mashallaaah...condom tupa kule.
Hao ndiyo wanamchanganya Sheick...
Mgeni wa wanawake utamjua tu haihitaji hadubini..we waonekana ntu bara tu, sisi wataalam twamjua mwananke mrembo hata akiwa gubigubi..kalagabaho!
taib sahiba..taib.Mgeni wa wanawake utamjua tu haihitaji hadubini..