Yegoo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2012
- 1,434
- 511
kwenye familia yetu tumezaliwa 6 mimindio wa 6 watoto wotebaba yao ni mmoja kasoro mimi wa mwisho nilizaliwa baadae baada ya mama na baba0kuachana wote tumelelewa na mama tuu tokea utotoni tunaishi vizuri
nashangaa sasahivi wenzangu wanaplan yakujenga nyumbaya ushirikiano wao wa5 kasoro
mimi iwe na vyumba vi5 eti kilamtu chake wakiongeza cha 6 ni kwaalili ya mama basi, sio siri nimejisikia vibaya sana walivyonitenga wote niwatu wazima na tunamaisha yetu lakini kwanini mimi wamenibagua?
Kwani wewe ni tegemezi kwao?,hao ndugu zako! Wana roho ya kwa nini! Na kama umeshajipanga vizuri kimaisha chukulia kama Challenges na ufanye jambo moja zuri,JENGA NYUMBA pembeni kabisa mbali na hao ndugu zako! Alafu mchukue mama yako kaishi Naye! Hicho ndo nilichokifanya Baada ndugu zangu kuleta mizengwe! Full amani na mama yangu!