Hela huna masikini tu wa kutupwa bado una hii mindset Doooh!kunufaisha wengine sasa baasi.
Nakuja Dar, haitoshindikana na X sirudi hadi nifanikiweView attachment 2612231
Kama vipi nenda Mbeya mkuu huku Dar kwa moto sana.
Yes niko below 30 mkuu.Una mri gani?
Kama upo below 30 unaweza bahatisha...
Above that unakuja kufukuza upepo... just saying.
Sijaelewa kwanini umenishambulia na mwisho umerudi kwenye reli.Hela huna masikini tu wa kutupwa bado una hii mindset Doooh!
Kazi isiyo ya kumnufaisha mtu ni yako tu jiajiri fala ww
Una mwenyeji?Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.
Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.
Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
Shukran mkuu, hilo nimezingatia.Hakikisha Una sehemu ya Kula na kulala free angalau Kwa miez 6 , make sure
Sio mgeni huko.Una mwenyeji?
Kama unakja bila chanel nenda mahakama ya ndizi utakuja kunishukuru.Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.
Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.
Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
Sawa karibuSio mgeni huko.
Maisha popote ilimradi ujue kilichokupeleka.Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.
Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.
Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
Daresalama nenda ila kunufaisha watu na kuwalamba miguu kuko palepale tena huko ndio zaidi.Sijaelewa kwanini umenishambulia na mwisho umerudi kwenye reli.
Ndio maana nakata kujiajiri mkuu.
Hata hivyo nakuja Dar.
Una mri gani?
Kama upo below 30 unaweza bahatisha...
Above that unakuja kufukuza upepo... just saying.
Wanufaishe na wewe unufaike ila sio uwanufaishe wewe usinufaike.Daresalama nenda ila kunufaisha watu na kuwalamba miguu kuko palepale tena huko ndio zaidi.
Karibu kama una mbio Dar kutakufaa huku tunawakimbia wenye nyumba, mantilie akikuona anafurahi, konda atakuuliza kama unaenda maana atakujua kwa kutoku badili nguo, mchina atakuchukia kwakuwa atatakiwa kukulipa 7,000 jioni baada ya kufanya kazi Masaa 12...Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.
Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.
Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
Nitatafakari hilo mkuu, kama fursa ipo kichwa uzi kitabadilka na kua nakuja Arusha.Usiende dar njoo Arusha
Utakuwa kunishukuru badae kabisa