Sina mkia na sijazaliwa nao

Sina mkia na sijazaliwa nao

Nimesikia na nimeona kupitia TV alichokisema mwenyekiti mpya wa ccm kuhusu wanaorudi ccm toka upinzani. Hoja ya mkia nilivyoielewa ni kwamba ukiwa ccm una mkia na ukienda upinzani lazima ukatwe mkia.

Upinzani hakuna wanyama kwa maana wanyama wana mikia na unyama tumeuona,tunauona na tutauona.

Mimi sina mkia na nitaishi kwa kutokuwa na mkia na nitaishi kisiasa na wasio na mikia, na in any case akitokea mwenye mkia lazima tuukate ili asiendane na sisi.

Sasa kwa vile nimezaliwa bila mkia nitawezaje kwenda kuishi na wenye mikia? Ila wenye mikia ni rahisi kuishi na sisi kwa sababu mkia utakatwa hata kwa operesheni ya ganzi.

Nawasilisha, ni rahisi kukatwa mkia kuliko kuungaunga ili uwe na mkia
Akizungumzia NG'OMBE, wewe unawasiwasi gani Ndugu?
 
Maccm mikia yao inamaanisha mbuzi huwa awafikiri zaidi ya kula majani na kutukana watu
 
Haaa haaaa kauli ya Dr Magufuli imewafifisha wale wote walioondoka CCM kwasababu mbali mbali.Kwa maneno rahisi wakirejea hawawezi kuaminiwa tena,hili lilikuwa dongo zuri sana kwa Msindai and Mpendazoe.
 
Dongo tena zito
 
Nimesikia na nimeona kupitia TV alichokisema mwenyekiti mpya wa ccm kuhusu wanaorudi ccm toka upinzani. Hoja ya mkia nilivyoielewa ni kwamba ukiwa ccm una mkia na ukienda upinzani lazima ukatwe mkia.

Upinzani hakuna wanyama kwa maana wanyama wana mikia na unyama tumeuona,tunauona na tutauona.

Mimi sina mkia na nitaishi kwa kutokuwa na mkia na nitaishi kisiasa na wasio na mikia, na in any case akitokea mwenye mkia lazima tuukate ili asiendane na sisi.

Sasa kwa vile nimezaliwa bila mkia nitawezaje kwenda kuishi na wenye mikia? Ila wenye mikia ni rahisi kuishi na sisi kwa sababu mkia utakatwa hata kwa operesheni ya ganzi.

Nawasilisha, ni rahisi kukatwa mkia kuliko kuungaunga ili uwe na mkia
Hahahahaha.
Wewe jamaa unaweza kuchekesha hata waliokufa.
 
Back
Top Bottom