Sina Mgogoro na CHADEMA

Kumbe Ludovick ni mwalimu?!.Asije akamwaga sumu kwa watoto wetu anaowafundisha!.
 
Mkuu Pole sana, jipe moyo Jiwe walilokataa CHADEMA huwenda likaja kuwa jiwe kuu la UFIPA.
 
kama unadhani uko sahihi ktk mawazo yako si uende katika vikao halali ukatoe hayo mawazo yako
 
Kumbe alimrikodi LWAKATARW!!!!!!!!!
Si mlikuwa mnasema ni video ya kugushi??????
wajinga na waongo utawajua kwa kubadili kauli
 

Kama anamasikio na asikie
 
chama hakikutaki, sasa kwanini wewe unawapenda? fanya yako kijana, nyie hamna madhara, ni nyuki wa siasa wasiouma.
 
Huyu jamaa hata hiyo degree ya ualimu aliipata vipi. Ni mweupe sana kichwani.

Tiba
 
Huyu jamaa hata hiyo degree ya ualimu aliipata vipi. Ni mweupe sana kichwani.

Tiba

Ccm imeharibu system ya elimu ili itengeneze mazuzu kama Ludovick na iendelee kutawala milele
 
mwenye akili timamu anakuelewe vema siasa zako za maji taka, kama una yajuwa madudu ya chadema, hapa ndipo maala pake? kuna sehemu za kufikisha malalamiko na maoni yako lakini sio hapa....
 

words comrade......
 
Sasa kijana mada yako inausu mgogoro ndani ya chama chako ila cha ajabu umetumia andiko lako kukashifu na kuwaita wanachama wenzako "mazuzu". Kibaya zaidi sasa unasemea ufisadi ndani ya chama kwani hapa ndo taratibu za chama zinakuelekeza useme, na hao wanaoiba sijui mafuta umeshindwa kuwasema kwa vikao vyenu alali vya chama mpaka unasema hapa. Uliitaji useme kuwa huna mgogoro na chama chako si matusi na kashifa hizi nilidhani sasa unajitambua we nani kama kijana kumbe ndo basi unatokomea. Mwisho kama kweli wewe msema kweli mbona hukusema ulikuwa unafanya nini kwa gari la chama cha wasaka madaraka na wasaliti Tanzania ACT?
 
Majibu timilifu ya haya maswali hayawezekani kwa sababu ya kesi iliyoko mahakamani.
ludo kama kesi iko mahakamani nyuzi za nn,pumzisha akili yako dogo, nikushauri, ualimu ni bora kuliko hii shughuri unayofanya ona inavyokutesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…