Sina mapungufu ya utanzania kama wewe


BABA JUICE

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Messages
427
Likes
3
Points
35
BABA JUICE

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2010
427 3 35
Arusha kweliii....arusha juuuu..kwa mapenzi ya dhati naandika yalioo moyoni mwangu kwani nimekwazika na baadhi ya watu wanaoiponda arusha kisa inongozwa na chadema. Kipindi arusha inaongozwa na ccm huu mji ulikuwa unasifika sana na viongozi wa serikali pamoja na mataifa mbali mbali hadi ukaitwa geneva of africa. Najiuliza nini hasa kilichofanya arusha kuwa na sifa zote hizoo...coz ilikuwa inongozwa na ccm. leo hii kimeingia chama kingine eti arusha ni ya wavuta bangi eti arusha mji mbaya..watu walianza kuVuta bangi kabla hata hii nchi haijaitwa tanzania sasa ww unona hilo leo..kila mji unamapungufu yake na arusha pia inamapungufu mengi tu..lakini kitu kinachowaunganisha watu wa arusha ni uelewa wa hii nchi na viongozi wake..sisemi kwamba watu wa arusha wanaelimu kubwa lahasha watu wa arusha hawana woga..wanasema kwa lugha ya mtaani hatuanyi kitu...kitu kikubwa ambacho watu hawakielewi mji wa arusha haujajengwa na serikali ya ccm bali wananchi wa arusha..ukiangalia kwa jiji kama dar majengo mengi ni ya serikali na mashirika tofauti na arusha...magorofa na majengo mengi unayoyaona arusha ni ya watu binafsi na si serikali au mashirika...arusha kuwa jiji hata mimi haikunipendeza kwani kuna mambo mengi ya kuboresha hasa miundombinu lakini ndio hivyo wamekaa watu wakasema tuliiite jiji...wewe unaeiponda arusha kwa itikadi ya chama kaa vizuri utafakari arusha si majengo mazuri au bara bara nzuri arusha ni watu waliopevuka kiakili wasiotaka kuburuzwa,wenye maamuzi dhabiti ya kutetea taifa letu na raslimali ya taifa hili...arusha ni mji mmoja mzuri sana na watu wake ni wakarimu sana lakini si waoga..karibu arusha uje ufanikiwe..am not less Tanzanian by loving arusha..
 
M

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Messages
834
Likes
6
Points
35
M

Misa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2013
834 6 35
Na Arusha ndio mtatoa rais wetu mtarajiwa,patamu sielewi elewi
 

Forum statistics

Threads 1,251,156
Members 481,585
Posts 29,759,716