mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,505
Habari Great Thinkers,
Nimepungukiwa imani kulisoma gazeti la mwananchi siku hizi, naona ile spirit yao ya revolutionary journalism haipo tena.
Kutakua na kitu lazima ambacho labda me sikijui.
Au mimi ndo nipo biased?
Either ways one must be true.
Labda na nyie wakuu mtoe mawazo yenu