Sina 'idea' ya kumbeleza

Sina 'idea' ya kumbeleza

Kuwa karibu nae.... onesha unamjali.....mdanganye danganye tu ilimradi aridhike...hyo ndo raha yake
Ngoja nije PM nikuoneshe nakujali, nikudanganye danganye ili mradi uridhike hahah..sawa ee
 
Leo jioni hii nilikuwa naongea na wifi yenu. Shida ikaja pale aliposema sjawahi kumbembeleza na mahusiano yana miezi kama minne.
Sasa apa nlipo najiuliza mwanamke anabembelezwa vipi.

ukitaka msaada wa kum'bembeleza hyo dem wko kitafute kibapa kokote kilipo(kojagi).
kigonge vzr kisha kam'face' mrembo wko utaona unaangusha chombezo lisilo la kawaida
 
If Monkeys had money, some of the ladies would have been in the forest by now....[emoji2] [emoji2]
Mtatunga nahau na m8semo yote ila ukweli unabaki pale pale "pesa sabuni ya roho".
 
Back
Top Bottom