Sina 'idea' ya kumbeleza

Sina 'idea' ya kumbeleza

bruce_lee

Member
Joined
Jan 16, 2017
Posts
31
Reaction score
16
Leo jioni hii nilikuwa naongea na wifi yenu. Shida ikaja pale aliposema sjawahi kumbembeleza na mahusiano yana miezi kama minne.
Sasa apa nlipo najiuliza mwanamke anabembelezwa vipi.
 
Mr. Lee sasa kwanini hujatuweka mashemeji?, naona ma wifi tu umewahusisha, ngoja wakujibu
 
MI WA KWANGU NILI JARIBU KUMBEMBLEZA KWA NYIMBO NDO KWANZA KANIPA ZA USO ETI SAUTI KA BI KIDUDE
 
Kuwa karibu nae.... onesha unamjali.....mdanganye danganye tu ilimradi aridhike...hyo ndo raha yake
 
Kwa kumshika baadhi ya viungo huku ukimsifia, kumliwadha kwa maneno mazuri.
 
Back
Top Bottom