Sina hisia zozote naye za mapenzi ila yeye ananipenda, nifanyaje?

upendo muhim sana nadhan hapo weqe unamheshim tu wala upendo haupo usijitese kwa kuogopeshwa na ndoto
 
Habari za Leo wapendwa,

Rafiki yangu wa karibu sana wa kiume ananipenda kiasi cha kufikia kutaka mimi niwe mpenzi wake na baadae anioe tuishi pamoja. Lakini binafsi namuheshimu sana na sina hisia zozote za mapenzi kwake Lakini mbali na hayo nimekuwa nikiota Mara kwa Mara tupo kanisani ananivisha pete ya ndoa.

Je hii inamaana gani? Na kwa sasa nipo busy sana sihitaji hata kuwa kwenye mapenzi.
Hadi umamuota duh huyo atakuwa jini mahaba
 
Habari za Leo wapendwa,

Rafiki yangu wa karibu sana wa kiume ananipenda kiasi cha kufikia kutaka mimi niwe mpenzi wake na baadae anioe tuishi pamoja. Lakini binafsi namuheshimu sana na sina hisia zozote za mapenzi kwake Lakini mbali na hayo nimekuwa nikiota Mara kwa Mara tupo kanisani ananivisha pete ya ndoa.

Je hii inamaana gani? Na kwa sasa nipo busy sana sihitaji hata kuwa kwenye mapenzi.
Jee ! kwani umesha wahi kumuonjesha utupu wako ?
 
Habari za Leo wapendwa,

Rafiki yangu wa karibu sana wa kiume ananipenda kiasi cha kufikia kutaka mimi niwe mpenzi wake na baadae anioe tuishi pamoja. Lakini binafsi namuheshimu sana na sina hisia zozote za mapenzi kwake Lakini mbali na hayo nimekuwa nikiota Mara kwa Mara tupo kanisani ananivisha pete ya ndoa.

Je hii inamaana gani? Na kwa sasa nipo busy sana sihitaji hata kuwa kwenye mapenzi.
Inawatokea wengi ni hali ya kawaida unaweza kumwambia ukweli huu wenye kuumiza mno lakini cha ajabu ni kwamba unaweza kuja kumpenda mara mia zaidi yake
 
You know the answer to that question of yours. If you love him, let him know and if you dont then let him go.
 
mwambie asubiri ..km ana real love atafny hvo..!... af ati we huna muupenz?
 
Hapana sina niliekuwa nae niliamua kumuacha maana alikuwa hatulii na anapenda pesa sana skutana stress za mapenz
 
wewe binti linalowezakana leo lifanye by the way hisia zinakuja unapokua tayar kwenye nahusiano au haujui km nyie wanawake mnaazaga at 0 ? siku zinakuja utaitafuta nafas ya kuolewa hautaiona
 
Hapana sina niliekuwa nae niliamua kumuacha maana alikuwa hatulii na anapenda pesa sana skutana stress za mapenz
una trying makin perfect so ucshangae kujkut 1day unampnd ts normal bt ww just relax en fny maamuz sahihi ww km ww .....wsh u th best
 
Inawatokea wengi ni hali ya kawaida unaweza kumwambia ukweli huu wenye kuumiza mno lakini cha ajabu ni kwamba unaweza kuja kumpenda mara mia zaidi yake
Ni kweli kabisa mshana jr so bibie asije akarudi akamkuta jamaa yupo na anaempenda mara mia mbili zaidi, nilisikiaga wanasema eti "IF YOU DON'T LIKE SOMETHING YOU BETTER CHANGE IT, AND IF YOU CAN'T CHANGE IT, CHANGE THE WAY YOU THINK ABOUT IT"
 
Habari za Leo wapendwa,

Rafiki yangu wa karibu sana wa kiume ananipenda kiasi cha kufikia kutaka mimi niwe mpenzi wake na baadae anioe tuishi pamoja. Lakini binafsi namuheshimu sana na sina hisia zozote za mapenzi kwake Lakini mbali na hayo nimekuwa nikiota Mara kwa Mara tupo kanisani ananivisha pete ya ndoa.

Je hii inamaana gani? Na kwa sasa nipo busy sana sihitaji hata kuwa kwenye mapenzi.
Mimi nijuavyo sisi binadamu, most of us huwa inatokea mtu anayekupenda wewe unakuwa huna feelings naye, ila yule unayemfeel anakuwa hana mpango na wewe. Hapa cha kufanya kama unahisi ana upendo wa dhati nawewe basi jaribu na wewe kumpenda in return, ukishindwa basi. Though huwa inauma sana kumwamia mtu ukweli.
 
Back
Top Bottom