Mkuu Kwa Hii Riwaya Yako, Kuna Kitu Kinaendelea Si Bure
Akikolezwa vizuri... BOT ataisoma namba bila shuruti. Hapana chezeya pawa ya gegedo nakuambia
mkuu kwanza samahani kwa jina nililokuita kule mahali fulani... Ni kweli kuna kitu kinaendelea nimempata Shemeji Yako lakini nasumbuliwa na hasira na kukosa hamu ya tendo la ndoa.. Unaweza saidia katika hili
kwanza unatakiwa upate msichana ambaye anatambua kuwa hasira zako mara kwa mara kujibu vibaya ni kwa sababu ya stress, hivyo hata ukimmwambia tuachane cjui unajibu hovyo achukulie kama wewe ni mgonjwa, ukimchunia yeye anapiga tuu sms anatuma, hajali umemwambia humtaki hayo mapendo yatakufanya baadae uone yeye ni wathamani kwako na utapata hamu sana.
ila yataka uvumilivu kumsaidia mwanaume kama wewe
yataka uvumilivu kumsaidia mwanaume kama Mimi!! Kivipi mrembo
awe tayar kuvumilia hayo mahasira yako nakukuaamehe, maana nna uhakija utakuwa mwepesi wakusema ' tuachane' akutulize kisaikolojia vaada ya mda utakuwa poa.