Sina hamu ya kupenda...

Nilikupenda sana Emmanuel lakini katu hukuthamini penzi langu,ulipoumwa nilikubembeleza kwa maneno matamu uone jinsi gani nakujali na kukutakia uzima,ulipokasirishwa kazini bado nlikutia moyo,maumivu yako pia niliyabeba ili kukupnguzia uzito lakini wewe hukuthamini penzi langu katu..mapenzi yako kwangu yalishuka kila siku hupigi simu hadi nipige,tunaishi Dsm hii wote lakini inapita hata miezi 3-4 hatuonani hadi nibembeleze sana,kila nilichokuomba ulidai huna ilihali ulkuwa navyo.

Miaka yako 32 ilinifanya mwanzoni nkuone nmepata kuwa utawaza familia kumbe umri so tabia...machozi yangu hukuyajali wala kunithamini,nilikupenda sana emmanuel mwezi uliopita nilikutamkia tuachane nikajua ni gia ya kukubadilisha ndo kwanza ukasema nenda ili uendelee na wanawake wengine..(wanaume wapendeni wanawake wanaoonyesha kuwapenda kwa moyo kwani mtakuja kujuta baadaye)hyu niliyempenda hakunithamini ipo siku atanikumbuka..

Pole sana lkn kwa upande mwingne mshukuru MUNGU angekuoa afu ikawa ivo ungeumia zaid move on sis utapata atakae kupenda kwa dhati,pliz usivunjwe moyo na wasiojua kupendwa...
 
Pole sana lkn kwa upande mwingne mshukuru MUNGU angekuoa afu ikawa ivo ungeumia zaid move on sis utapata atakae kupenda kwa dhati,pliz usivunjwe moyo na wasiojua kupendwa...

thnx myn ntafanya hivyo,nashukuru kwa ushauri yan angenitesa sana na nngejuta hadi basi.
 
Pole sana prettydiva. Kuna siku bibi aliniambia kuna baadhi ya wanaume ni kama mbwa tu. Yaani unaweza kuwa na mbwa wako ukamhudumia vizuri na ukampa chakula kizuri tu, mbwa hula na anashukuru sana lakini pia akitoka nje hata akikuta mavi ya mtoto huyo mbwa atakula na kushukuru sana vilevile.

NB:
1. Samehe, kung'uta mavumbi, songa mbele. Yupo wa kwako Mungu aliyekuandalia. I believe you deserve the best.
2. Jiweke busy na shughuli zako za maendeleo, mazoezi, na kitu unachopendelea utamsahau tu.
3. Usagawe tena papuchi hadi ufunge ndoa.
4. Usikubali mahusiano ya bf/gf ya muda mrefu yasiyokuwa na mwelekeo wa maisha yenu ya baadaye.
5. Sio wanaume wote wako hivyo, wapo wazuri wasiokuwa na tabia kama za Emmanuel.
Always remember that your present situation is not your final destination. The best is yet to come!

thnk you so very much,ntafanyia kazi ushauri wako mpendwa.
 
Last edited by a moderator:
pole sana pety bt mwoneshee furaha ipo cku atakuomba msamaha na kutaka mrudiane anachokitafuta atajuta hawajui vizr wanawake. be hero on thak' ok?
 
Life is full of many love opportunities, move on and with time u will find the one who will love u in the same way..Mpende akupendaye asiyekupenda achana nae.
 
Simama imara, usidhani uko peke yako, nyuma kuna jeshi kubwa, maisha ni kama kitabu, funga ukurasa fungua mwingine, siye yeye tu samaki kwenye mto.
 
Pole sana mdogo wangu, maisha ndo yalivyo. Hii post imeniumiza sana. Women will always be our heroes hasa kwasababu ya uvumilivu wenu!!!!!
 
Wanawake wengi sana wanalalama kutendwa na watu waliowapenda na kuwathamini sana,napata shida mno kufaham sababu kuu ni yepi,je hao wanaume walikuwa na upendo wa dhati gradually ukapungua mpah to the lowest point ama ni pretenders with fake love(One cant pretend forever and for always)na ndio maana uhalisia wao unapobainika its already too late????pole sana bi dada hilo ni somo kwako
 
Back
Top Bottom