Inawezekana unatatizo la kiafya kama homa au unafululiza sana kupiga puliWasalaam ndugu..
Naamini nko na afya njema kabsa. Ngoja nianze hivi..ni muda kama wa wiki tatu sasa hali ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi ipotee kabsa mwilini..mwanzo niliona kawaida ila sasa naona litakua ni tatizo mana inafika kipindi hata mnara hausomi kabsa hata kidogo..nilijifikiria labda ni kwa sababu sina mpenzi..ila juzi nliamua kwenda club nikaomba kucheza na mdada mmoja ambae najua atani stimulate..lakini pamoja na hayo yote mnara uligoma kushika mawimbi..nimejiuliza sana tatizo nini ila nimeshindwa pata jibu.."Mganga hajigangi" naombeni uchambuzi kuhusu hili..
"Dare to talk openly"
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mkuu nakushauri toka dar uje mikoani huku, ukipita tu mbezi louis mnara utasoma
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mungu hakunyimi vyote ukikosa akili unapata ujinga. Km umeshindwa kufanya fanywa
Wasalaam ndugu..
Naamini nko na afya njema kabsa. Ngoja nianze hivi..ni muda kama wa wiki tatu sasa hali ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi ipotee kabsa mwilini..mwanzo niliona kawaida ila sasa naona litakua ni tatizo mana inafika kipindi hata mnara hausomi kabsa hata kidogo..nilijifikiria labda ni kwa sababu sina mpenzi..ila juzi nliamua kwenda club nikaomba kucheza na mdada mmoja ambae najua atani stimulate..lakini pamoja na hayo yote mnara uligoma kushika mawimbi..nimejiuliza sana tatizo nini ila nimeshindwa pata jibu.."Mganga hajigangi" naombeni uchambuzi kuhusu hili..
"Dare to talk openly"
Sio kweli kuwa umli huo kushindwa kufanya vizuri huyo anatatizo jingine tukama una miaka zaidi ya 40 ni kawaida, ila kama upo chini ya 40 basi utakuwa na matatizo
Unahitaji hamu ya nini wakati hata mke huna? Kifupi hauna tatizo lolote kabisa hofu yako tu huwezi kuwa na hamu ya tendo la ndoa wakati wote na wakati huna ndoa!Wasalaam ndugu..