Sina hamu na mpenzi wangu

The Hood

Member
Oct 16, 2015
47
17
Habar zenu wana MMU,

Mimi ni kijana mvulana middle twenties, nna mpenzi wangu nampenda sanaaaa, tatizo ni moja tu sina hamu ya kusex nae kabxa yaani nikijitaidi nampiga bao moja then stimu inakata, ila nikisema nichepuke nafanya vizur kabxa kwny mechi za ugenini!
Hili swala limekuwa likiniumiza kichwa nadhan hata yeye linamsumbua japo hajawahi kusema ila naona kama linamkera!
Nmetry my best kupiga hata bao mbili ila nachemka yaan km vile nmerogwa hivi. Kila nkimalza bao moja nakuwa sina hamu nae kabxa naishii kumshika shika na romance za hapa na pale!

Nasisitiza tena mechi za ugenini nafanya vizuri, ya nyumban naona inakuwa ngumu why? Helps plz mambo yamenifika hapaaa....

Naomben ushaur wenu nifanyaje ili niwe na stimu nae maana nampenda lakin hii hali nahc km vile naelekea kumkosa kabxa...
 
siku nyingine usitumie herufi "x" pasipo stahili,.... kama unampenda na huna hamu ya kuzini naye ni jambo jema .. kama vipi kukata mzizi wa fitna mfanye dada yako ....... au kwa sababu umesema mechi ya ugenini unafanya fresh vyema ukampiga chini ukamgeuza mchepuko
 
N PM namba yake nidhibitishe kama ni kweli'........maana nahisi kuna chembe ya chai hapa.(samahan lakin)
 
N PM namba yake nidhibitishe kama ni kweli........maana nahisi kuna chembe ya chai hapa.(samahan lakin)
 
Kuachana nae ningependa iwe ni last option, mi binafs bado nampenda sitak kumkosa! So nataka jinc ya kufurahia nae penzi
 
hii kitu inatokea sana sio wewe tu lakini kikubwa ambacho mimi nilikifanya nikuanza kusahau mochepuko,yaani nilikua najikaza nisichepuke hata miezi miwili taratibu nikajikuta mzuka unarudi kwa wife ntikawa napiga hearttrick
 
Mlete huku tumfundishe ukiwa unashindwa kupiga bao la pili yeye afanyeje.

hahahahahahahahhhhh
 
Kumradhi.....
1. Mimi ni kijana mvulana middle twenties?!
2. ''sina hamu na demu wangu''?!
3. ''kabxa''?!
 
Mechi ya nyumbani hufanyi vizuri kwani "Umemuoa?
BTW tatizo linaweza kuwa:-

- kutokukupa ushirikiano.

-Au labda si msafi

-Au huwa mnafanya mkiwa hampo katika mood nzuri.
 
Kusoma nyuzi za vijana Wa Facebook ni shida sana!halafu alivyokosa adabu anataka watu wamshauri jinsi ya kuzini na huyo mzinifu mwenzake.aaaargh
 
Ukijua kuandika uje uombe ushauri, hapa sipo kwa wendawazimu wenzio
 
siku nyingine usitumie herufi "x" pasipo stahili,.... kama unampenda na huna hamu ya kuzini naye ni jambo jema .. kama vipi kukata mzizi wa fitna mfanye dada yako ....... au kwa sababu umesema mechi ya ugenini unafanya fresh vyema ukampiga chini ukamgeuza mchepuko

Mh, comment zingine bhana hatareeee sana. Yan nimechekaje.
 
Back
Top Bottom