chamaki nchanga
New Member
- Jul 20, 2015
- 3
- 2
Habarini wana MMU,hii ni mikasa iliyonipata katika harakati zangu za umalaya wa kutafuta wanawake wa kwenye mitandao,mm ni mdau mkubwa wa JF ila nimekuja kivingine kuficha aibu zangu cos kuna watu wananifahamu kutokana na shughuli zangu.MADA KUU.Demu 1.huyu nilimpata hapa JF wakati huo nikiwa Tanga demu DSM,akiwa muhitimu wa chuo na alikuwa Estate company moja hivi,baada ya mawasiliano ya muda mfupi akaja Tanga wikiendi moja,wakati wakuondoka aliniomba pesa ya kulipa kodi ya nyumba 420,000/,duh nikampiga blahblah nitakutumia,nikaamua kumpotezea kwani first time tu nimlipie kodi,hapana,
Demu 2,huyu nilimpata hapa JF anajifanya ni daktari,kuna memba mmoja nafikiri anamfahamu huyu mama cos aliitoa picha yake FB na akaileta hapa JF,baada ya mawasiliano mafupi alinikaribisha kwake Tabata,nilimkuta yupo single amepanga nyumba mzima ingawa nilliingiwa na hofu lkn nilijikaza kiume,baada ya msosi na stori kidogo nilikaribishwa room,no kitanda godoro la kisasa chini ,huko room nililazimishwa niingie chumvini na nipige mechi bila boot tena kwa kilio na machozi lkn nilikataa cos hatujuani kwa undani ,nilipiga bao zangu 3 kisha nikasepa ,baada ya kuondoka alinitumia sms kuwa kwa sababu sikutaka kufuata vile anavyotaka haniihitaji tena tukaishia hapo.
Demu 3.Huyu ni mama mtu mzima mwenye watoto wa2 wa kike na mjukuu 1 lkn she is looking young.Huyu mama ana kazi mzuri usafiri na nyumba mzuri,mwanzoni tulikuwa tunakutana hotelini lkn baadae akaamua kunikaribisha nyumbani kwake na kunitambulisha kwa watoto wake by that time nilikuwa napiga mzigo kanda ya ziwa yy yupo Dar,kusema ukweli sikuwahi kupanda ndege na sikuota kama kuna siku nitapanda ndege lkn huyu mama alikuwa ananitumia tiketi ya ndege Mwnz to Dar hasa wikiendi.Ktk mahusiano yetu tulikuwa tunatumia kinga na yy alisisitiza nimuoe but she was older than me tena sana ,pia nilikuwa namsisitizia swala la kupima lkn alikuwa mgumu kukubaliana nalo na alisisitiza tutumie mpira,kikubwa zaidinilichokuwa nafuata nilikuwa namubia sana pesa zake kwani tukisha piga mtungi usiku lazima niamkie handbag na sikosi hata 50 na asb hagundui lolote.Siku moja ambayo sitakuja kuisahau ni pale alipoondoka kwenda salooni na kuniacha chumbani pekeangu ndipo nikaamua kufanya upekuzi mle room,kilichonitisha vyeti vingi vya hosp,nikaanza kupata wasiwasi nikaingia friji ndogo ya mle room duh nusu nizimie nilitamani kulia nikaishiwa na nguvu kabisa nikakaa chini kuiangalia ile chupa ya dawa kumbe ni ARV.Sikupoteza muda nikachukua kilicho changu nikasepa.Ilinichukuwa miezi mi3 kurudi katika hali yangu ya kawaida nikaenda hosp kupima nikakutwa ni -ve.ila nimekula sana pesa yake.ONYO tuwe makini na w/ke au w/me tunaokutana nao mitandaoni.