Sina Hamu na Mademu wa mtandaoni

Sina Hamu na Mademu wa mtandaoni

Una dandia scania ubavuni. Utakuja uturushie na kinyesi. Shaur lako.

Una iga fani za watu. Tehe
 
Kuna uzi unasoma kisha unaishia kucheka. Ok vinywaji + vyakula + arv = kwenye friji. Enewey.
 
Huyo maza wa mwisho alikupenda sana,make hakutaka uukwae.
Ila zawadi ya wazinzi ni ukimwi tu
 
Mwenzio nilipata limama from UK lkn mwenyeji wa Shinyanga lilikuwa linanitumia picha fake coz alidata sana na uhandsome wangu.Alikuwa akinitumia paund 1000 mpk 2000 mwisho wa siku anakuja tz alinitumia nauli from mkoani mpk Dar.Kituko kuja airpot nahaha kumtafuta simuoni, akaja kunishika bega na kuniambia yy ndiye mwenyeji wangu.Niliishiwa pozi coz alinipeleka hotel ya maana, sema japo mtu mzima aliumbika haswaa na hata sura yake ipo bomba balaa.Isee aliniomba msamaha Kwa kunidanganya, nikampa kichapo heavy peku2 coz cha kwanza lilitoa vipimo tukajipima.Mpk Leo nakula manoti tu lipo zake UK.
 
Wewe inaeleka ni marioo! sidhani kama huna HIV subiri miezi 3 kapime tena ili uangue kilio vyema! Mpuuzi mkubwa!
 
What do people get out of writing these stuffs!???
 
Back
Top Bottom