Sina hamu na biashara ya uber/taxify

Uber au boda boda, si biashara. Ni kazi. Inatakiwa utumie chombo chako mwenyewe. Si kumwachia mwingine
 
Mmnamo mwezi wa 10 mwaka jana baada ya kuona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, niliona bora niingize gari yangu kwenye hizi uber/taxify. Basi nikapata kijana mmoja akaniomba nimpe gari kwa mkataba wa miaka miwili kwa hesabu ya 175,000/ nikaona sio mbaya itanilipa japo gari yangu ililua bado mpya kabisa haina mwaka toka niagize wala haijawahi kupata ajali.

Basi kijana akaanza kazi kila siku ya marejesho hakosi sababu, mara house girl kaiba pesa zote nani, mara simu yangu haikai na chaji nimeona ninunue nyingi be mara leo traffic walikua wanakamata tax bubu yaani ilimradi tu asinilipe hesabu yangu. Tukaenda wee mpaka mwezi wa 12 mida ya saa tisa usiku napokea sms yake kuwa yupo kituo cha polisi mwananyamala amepatwa na ajali ya kugonga gari la watu aina ya Prado V8. Nilichanganyikiwa baada ya yeye kunitumia picha za gari langu jinsi lilivyokuwa nyang'anyang'a halitaminiki. Kumbuka hapo sina bima comprehensive na mshahara wangu ni lak2 kwa mwezi na wala sikopesheki popote. Basi nikajitahidi wee kwa msaada wa baba chanja nikakomboa gari langu ambapo ilinigharimu tsh 900,000 kulirudisha barabarani.

Baada ya gari kuimarika nikalirudisha kwa road mwezi February mwaka huu. Nikampata kijana mmoja kupitia mtandaoni. Yule kijana alikua mwaminifu sana ikifika siku ya hesabu anatuma pesa bila kumkumbusha nikasema maisha si ndo haya sasa! Tukaenda nae weee ilipofika mwezi wa tatu mwishoni dogo akaanza mizengwe mara nina mgonjwa, mara sijui nini. Wiki mbili hakutuma pesa nikamvumilia tu. Baada ya uzalendo kunishinda nikamwambia arudishe gari lakini kila kukicha alikua ananipa sababu gari hataki kurudisha wala pesa hatumi.

Nikaona isiwe shida gari si ina GPS (car track) basi ijumaa moja nikamwambia baba chanja leo lazima tumfatilie huyu mpaka arudishe gari. Tukamwangalia kwenye GPS tukawa tunamfuata alipo. Tulizunguka karibia masaa mawili mpaka tukampata maeneo ya gymkhana kwa msaada wa GPS. Pale pale nikachukua gari yangu nikaondoka home. (Dereva tulimshusha kwenye gari alikoelekea hatujui).

Kufika home nikagundua gari ina kasoro nyingi tu, taa haziwaki, bodi imekwaruzika, air cleaner imevunjika etc.

Nikasema hii biashara kichaa. Pale pale nikapiga gari picha nikatangaza kuuza. Namshukuru Mungu kesho yake tu nilifanikiwa kuuza gari japo kwa bei ya hasara sana kutokana na gari lilivyokuwa imechakazwa.

Sina hamu kabisa na biashara ya uber tena siku nikipata gari litakua kwa matumizi binafsi na sio nimwachie kijana wa kitanzania kwa ajili ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
asante kunifungua macho am saving hardly hata nipate ISt ya uber nikijua inatanisaidia kusukuma maisha acha nifanye ya kutembelea tu
 
Kuna biashara za kiteknolojia ambazo huhitaji kuwepo pale pale ...ila una uwezo wa kupata access ya mapato yanayoingia ukiwa popote
Izo ndo biashara nzuri ila tatizo lipo kwenye kuzijua, unaweza ukatufumbua macho kidogo, kwa kutupa somo ni biashara gani hasa
 
Mmnamo mwezi wa 10 mwaka jana baada ya kuona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, niliona bora niingize gari yangu kwenye hizi uber/taxify. Basi nikapata kijana mmoja akaniomba nimpe gari kwa mkataba wa miaka miwili kwa hesabu ya 175,000/ nikaona sio mbaya itanilipa japo gari yangu ililua bado mpya kabisa haina mwaka toka niagize wala haijawahi kupata ajali.

Basi kijana akaanza kazi kila siku ya marejesho hakosi sababu, mara house girl kaiba pesa zote nani, mara simu yangu haikai na chaji nimeona ninunue nyingi be mara leo traffic walikua wanakamata tax bubu yaani ilimradi tu asinilipe hesabu yangu. Tukaenda wee mpaka mwezi wa 12 mida ya saa tisa usiku napokea sms yake kuwa yupo kituo cha polisi mwananyamala amepatwa na ajali ya kugonga gari la watu aina ya Prado V8. Nilichanganyikiwa baada ya yeye kunitumia picha za gari langu jinsi lilivyokuwa nyang'anyang'a halitaminiki. Kumbuka hapo sina bima comprehensive na mshahara wangu ni lak2 kwa mwezi na wala sikopesheki popote. Basi nikajitahidi wee kwa msaada wa baba chanja nikakomboa gari langu ambapo ilinigharimu tsh 900,000 kulirudisha barabarani.

Baada ya gari kuimarika nikalirudisha kwa road mwezi February mwaka huu. Nikampata kijana mmoja kupitia mtandaoni. Yule kijana alikua mwaminifu sana ikifika siku ya hesabu anatuma pesa bila kumkumbusha nikasema maisha si ndo haya sasa! Tukaenda nae weee ilipofika mwezi wa tatu mwishoni dogo akaanza mizengwe mara nina mgonjwa, mara sijui nini. Wiki mbili hakutuma pesa nikamvumilia tu. Baada ya uzalendo kunishinda nikamwambia arudishe gari lakini kila kukicha alikua ananipa sababu gari hataki kurudisha wala pesa hatumi.

Nikaona isiwe shida gari si ina GPS (car track) basi ijumaa moja nikamwambia baba chanja leo lazima tumfatilie huyu mpaka arudishe gari. Tukamwangalia kwenye GPS tukawa tunamfuata alipo. Tulizunguka karibia masaa mawili mpaka tukampata maeneo ya gymkhana kwa msaada wa GPS. Pale pale nikachukua gari yangu nikaondoka home. (Dereva tulimshusha kwenye gari alikoelekea hatujui).

Kufika home nikagundua gari ina kasoro nyingi tu, taa haziwaki, bodi imekwaruzika, air cleaner imevunjika etc.

Nikasema hii biashara kichaa. Pale pale nikapiga gari picha nikatangaza kuuza. Namshukuru Mungu kesho yake tu nilifanikiwa kuuza gari japo kwa bei ya hasara sana kutokana na gari lilivyokuwa imechakazwa.

Sina hamu kabisa na biashara ya uber tena siku nikipata gari litakua kwa matumizi binafsi na sio nimwachie kijana wa kitanzania kwa ajili ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumpata Mtanzania mwaminifu ni probability ya 0.001.

Ukimpata utakuwa umefanikiwa sana
 
Vijana wengi wanapenda pesa na hata ukiwasikiliza hamu na mipango yao ya kupata pesa utasema sasa Kijana ndio huyu. Mpe kazi sasa kila siku visingizio.

kwani mtu akiwa na mgonjwa ndio haendi kazini? wakati anajua hiyo kazi inamuingizia kipato na pesa ya matibabu?
Mmnamo mwezi wa 10 mwaka jana baada ya kuona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, niliona bora niingize gari yangu kwenye hizi uber/taxify. Basi nikapata kijana mmoja akaniomba nimpe gari kwa mkataba wa miaka miwili kwa hesabu ya 175,000/ nikaona sio mbaya itanilipa japo gari yangu ililua bado mpya kabisa haina mwaka toka niagize wala haijawahi kupata ajali.

Basi kijana akaanza kazi kila siku ya marejesho hakosi sababu, mara house girl kaiba pesa zote nani, mara simu yangu haikai na chaji nimeona ninunue nyingi be mara leo traffic walikua wanakamata tax bubu yaani ilimradi tu asinilipe hesabu yangu. Tukaenda wee mpaka mwezi wa 12 mida ya saa tisa usiku napokea sms yake kuwa yupo kituo cha polisi mwananyamala amepatwa na ajali ya kugonga gari la watu aina ya Prado V8. Nilichanganyikiwa baada ya yeye kunitumia picha za gari langu jinsi lilivyokuwa nyang'anyang'a halitaminiki. Kumbuka hapo sina bima comprehensive na mshahara wangu ni lak2 kwa mwezi na wala sikopesheki popote. Basi nikajitahidi wee kwa msaada wa baba chanja nikakomboa gari langu ambapo ilinigharimu tsh 900,000 kulirudisha barabarani.

Baada ya gari kuimarika nikalirudisha kwa road mwezi February mwaka huu. Nikampata kijana mmoja kupitia mtandaoni. Yule kijana alikua mwaminifu sana ikifika siku ya hesabu anatuma pesa bila kumkumbusha nikasema maisha si ndo haya sasa! Tukaenda nae weee ilipofika mwezi wa tatu mwishoni dogo akaanza mizengwe mara nina mgonjwa, mara sijui nini. Wiki mbili hakutuma pesa nikamvumilia tu. Baada ya uzalendo kunishinda nikamwambia arudishe gari lakini kila kukicha alikua ananipa sababu gari hataki kurudisha wala pesa hatumi.

Nikaona isiwe shida gari si ina GPS (car track) basi ijumaa moja nikamwambia baba chanja leo lazima tumfatilie huyu mpaka arudishe gari. Tukamwangalia kwenye GPS tukawa tunamfuata alipo. Tulizunguka karibia masaa mawili mpaka tukampata maeneo ya gymkhana kwa msaada wa GPS. Pale pale nikachukua gari yangu nikaondoka home. (Dereva tulimshusha kwenye gari alikoelekea hatujui).

Kufika home nikagundua gari ina kasoro nyingi tu, taa haziwaki, bodi imekwaruzika, air cleaner imevunjika etc.

Nikasema hii biashara kichaa. Pale pale nikapiga gari picha nikatangaza kuuza. Namshukuru Mungu kesho yake tu nilifanikiwa kuuza gari japo kwa bei ya hasara sana kutokana na gari lilivyokuwa imechakazwa.

Sina hamu kabisa na biashara ya uber tena siku nikipata gari litakua kwa matumizi binafsi na sio nimwachie kijana wa kitanzania kwa ajili ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
h
Ahh.Mm kilio changu kilikua hapo kwenyr barbershop hapo
Kwakifupi ni kwamba kwa sisi wenye vibarua vya watu inatuwia ngum sana kufanya biashara maana vibatua vinayu occupy kiasi kwamba ukija shtuka mambo yameharibika
hizi biashara za boda boda bajaji na tax mi naonaga michosho tu labda uwe mvivu ndio utazipenda. unanunua Pikipiki boxer 2M. unamkabidhi kijana kwa mkataba kwamba baada ya mwaka itakuwa yake ila atakuwa anakupatia elfu 10 kwa siku, laki tatu kwa mwezi, milioni tatu kwa mwaka. Tazama hizi biashara kichaa.
 
we jamaa mwongo lakini kuna sehemu unatupiga kamba mshahara wa laki mbili unaweza ukanunua gari ya milioni 10-13??
 
Baada ya gari kuimarika nikalirudisha kwa road mwezi February mwaka huu. Nikampata kijana mmoja kupitia mtandaoni. Yule kijana alikua mwaminifu sana ikifika siku ya hesabu anatuma pesa bila kumkumbusha nikasema maisha si ndo haya sasa!
emoji23.png
emoji6.png
Tukaenda nae weee ilipofika mwezi wa tatu mwishoni dogo akaanza mizengwe
emoji26.png
emoji17.png
mara nina mgonjwa, mara sijui nini. Wiki mbili hakutuma pesa nikamvumilia tu. Baada ya uzalendo kunishinda nikamwambia arudishe gari lakini kila kukicha alikua ananipa sababu gari hataki kurudisha wala pesa hatumi.

Nikaona isiwe shida gari si ina GPS (car track) basi ijumaa moja nikamwambia baba chanja leo lazima tumfatilie huyu mpaka arudishe gari. Tukamwangalia kwenye GPS tukawa tunamfuata alipo. Tulizunguka karibia masaa mawili mpaka tukampata maeneo ya gymkhana kwa msaada wa GPS. Pale pale nikachukua gari yangu nikaondoka home. (Dereva tulimshusha kwenye gari alikoelekea hatujui).

Kufika home nikagundua gari ina kasoro nyingi tu, taa haziwaki, bodi imekwaruzika, air cleaner imevunjika etc.

Nikasema hii biashara kichaa. Pale pale nikapiga gari picha nikatangaza kuuza. Namshukuru Mungu kesho yake tu nilifanikiwa kuuza gari japo kwa bei ya hasara sana kutokana na gari lilivyokuwa imechakazwa.

Sina hamu kabisa na biashara ya uber tena siku nikipata gari litakua kwa matumizi binafsi na sio nimwachie kijana wa kitanzania kwa ajili ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa mwongo lakini kuna sehemu unatupiga kamba mshahara wa laki mbili unaweza ukanunua gari ya milioni 10-13??
We jamaa vipi? Labda kanuliwa na mume wake? Kauza kiwanja? Mazao?
ahaa hapo sawa.
 
h

hizi biashara za boda boda bajaji na tax mi naonaga michosho tu labda uwe mvivu ndio utazipenda. unanunua Pikipiki boxer 2M. unamkabidhi kijana kwa mkataba kwamba baada ya mwaka itakuwa yake ila atakuwa anakupatia elfu 10 kwa siku, laki tatu kwa mwezi, milioni tatu kwa mwaka. Tazama hizi biashara kichaa.
Kichaa kwel kwel.Hasa hii ya boda boda kwakwel mimi sitakaa niifanye
 
nimefatilia boda boda na bajaji nyingi zinafanywa na wale wenye vyonbo vya kuhongwa au kununuliwa na ndugu. Mtu makini anayejua uchungu wa pesa hawezi kufanya haya
 
Mmnamo mwezi wa 10 mwaka jana baada ya kuona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, niliona bora niingize gari yangu kwenye hizi uber/taxify. Basi nikapata kijana mmoja akaniomba nimpe gari kwa mkataba wa miaka miwili kwa hesabu ya 175,000/ nikaona sio mbaya itanilipa japo gari yangu ililua bado mpya kabisa haina mwaka toka niagize wala haijawahi kupata ajali.

Basi kijana akaanza kazi kila siku ya marejesho hakosi sababu, mara house girl kaiba pesa zote nani, mara simu yangu haikai na chaji nimeona ninunue nyingi be mara leo traffic walikua wanakamata tax bubu yaani ilimradi tu asinilipe hesabu yangu. Tukaenda wee mpaka mwezi wa 12 mida ya saa tisa usiku napokea sms yake kuwa yupo kituo cha polisi mwananyamala amepatwa na ajali ya kugonga gari la watu aina ya Prado V8. Nilichanganyikiwa baada ya yeye kunitumia picha za gari langu jinsi lilivyokuwa nyang'anyang'a halitaminiki. Kumbuka hapo sina bima comprehensive na mshahara wangu ni lak2 kwa mwezi na wala sikopesheki popote. Basi nikajitahidi wee kwa msaada wa baba chanja nikakomboa gari langu ambapo ilinigharimu tsh 900,000 kulirudisha barabarani.

Baada ya gari kuimarika nikalirudisha kwa road mwezi February mwaka huu. Nikampata kijana mmoja kupitia mtandaoni. Yule kijana alikua mwaminifu sana ikifika siku ya hesabu anatuma pesa bila kumkumbusha nikasema maisha si ndo haya sasa! Tukaenda nae weee ilipofika mwezi wa tatu mwishoni dogo akaanza mizengwe mara nina mgonjwa, mara sijui nini. Wiki mbili hakutuma pesa nikamvumilia tu. Baada ya uzalendo kunishinda nikamwambia arudishe gari lakini kila kukicha alikua ananipa sababu gari hataki kurudisha wala pesa hatumi.

Nikaona isiwe shida gari si ina GPS (car track) basi ijumaa moja nikamwambia baba chanja leo lazima tumfatilie huyu mpaka arudishe gari. Tukamwangalia kwenye GPS tukawa tunamfuata alipo. Tulizunguka karibia masaa mawili mpaka tukampata maeneo ya gymkhana kwa msaada wa GPS. Pale pale nikachukua gari yangu nikaondoka home. (Dereva tulimshusha kwenye gari alikoelekea hatujui).

Kufika home nikagundua gari ina kasoro nyingi tu, taa haziwaki, bodi imekwaruzika, air cleaner imevunjika etc.

Nikasema hii biashara kichaa. Pale pale nikapiga gari picha nikatangaza kuuza. Namshukuru Mungu kesho yake tu nilifanikiwa kuuza gari japo kwa bei ya hasara sana kutokana na gari lilivyokuwa imechakazwa.

Sina hamu kabisa na biashara ya uber tena siku nikipata gari litakua kwa matumizi binafsi na sio nimwachie kijana wa kitanzania kwa ajili ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yan uwe na gar the ubakiwe na mshahara wa laki 2?acha uongo mzee..hiyo gari ulinunuaje,kwa mkopo ama?
 
Back
Top Bottom