Aaahahahhahahaahaaa jamaniii hadi rahaa....
Haya banaa, acha bichwa kimzidie hadi ashindwe kunyanyuka Heheheheheheh.
Ila wako wengi, HILI lililopostiwa / lililoanzishiwa uzi ni LI nani???!!!
K Madata.
Hahahahahaa Lipii..?? Si ulitaje???!!
Linani hilo??!
Watamwambiaje wenzake kama hujamtaja humu? Alafu tabia za kutongozwa alafu unaleta humu huo ni utoto mbona uliowakubalia huleti mrejesho.
Wadada wengine vimeo kweli hivi kweli mtu amekufuata inbox/pm kwa heshima kabisa kuna haja gani ulete humu huo upuuzi? Huoni huna busara? Mbona mwenzio hajakutongozea huku ulikoleta wewe?
Nina mashaka nawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha the thing is yo nowhere to be seen...no close to be reached...Niseme nini zaidi ya kukumiss, Nissan, Namanga, Msafiri....
Kβ Matata.
Hahahahahhahahaaaa
Haya basi acha nimuongezee haya maneno.
Wee LImwanaume weeh, mbichwa wako na Huu uzi ni wako basi malabuku zako mara laki milioni bilioni.....
Kasie.
Hahahahaaaaaaa looh.
Nimecheka cheko kubwa, but for Kasie, better die than stay with curiosity. Wink.
Hahaha the thing is yo nowhere to be seen...no close to be reached...
yo always missed kasie matata...lots of kisses
Ila ngoja nikupe hii siri (usimwambie mtu) nakunong'oneza wewe tuu.
Ntakauka na kupotea koote ila JF sikosekani.
Kasinde.
Hivi BAK kwa nini lakini.....
Kasie ni katope ujue.....
Aahaahahhahahahahaaa looh.....
Wenyewe wanasema ndembendembe... Yaani nyoronyoro....
Ila Dai amesema....
Moyo wangu....