Shukuru Mungu kwa kukulinda na wanawake wasio na maendeleo kwako, kumbuka si kila mwanamke anafaa kuwa naye kwenye mahusiano, wengi wa wanawake hapa mjini ni majini tu hawafai hata kwa one night stand, unalala naye unashangaa maisha yako yanaharibika. Una mizimu mikali sana inayokulinda, shukuru.Habari Wana JF
Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika.
Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini hamna kitu.
Sijawah kuhofia kupoteza mahusiano,Yani Mimi nikiwa namwanamke hata akiamua kuniacha naona sawa tuu sihofii chochote na hata moyo haushtuki.
Imefikia mahali nimeamua kuigiza kupenda lakin kunamdaa najisahau nakua don care,nimejitahd kunsikiliza nyimbo za mapenzi ilinipate hata kadilili lakini wapii nipo nipo tuu.
Kiufupi sielewi hata nashida Gani nataman skumoja nipendee ili nijue hata ladha ya upendoo sababu haya maisha yamenishinda
Naombeni ushauri jamani niondokane nahili tatizo
Doggy style imeingiaje hapa?Acha puli, acha kubeti, acha kutamani wanawake usiowaweza, acha doggystyle, la mwisho tafuta hela. Acha kulala ndani. Tafuta hela dogo.
Kama alinasa na hizo amazo dai ni pisi kali maana yake pesa anazoVipi Pesa unayo? Tuanzie hapo kwani.
Nini maana ya pisi kali? Tuanzie hapo kwani.Kama alinasa na hizo amazo dai ni pisi kali maana yake pesa anazo
Pisi kali ni mwanamke mzuri wa sura na umbo ,mwenye matumizi ya gharama za juu kama wanavyodai , ambae ni nadra mno kuangukia mikononi mwa mwanaume pangu pa kavu 😁Nini maana ya pisi kali? Tuanzie hapo kwani.
Gharama za juu kuanzia gani? Tuanzie hapo kwani.Pisi kali ni mwanamke mzuri wa sura na umbo ,mwenye matumizi ya gharama za juu kama wanavyodai , ambae ni nadra mno kuangukia mikononi mwa mwanaume pangu pa kavu 😁