Sina confidence katika Mahusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sina confidence katika Mahusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mamkindi, May 10, 2012.

 1. mamkindi

  mamkindi Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sina confidence katika mahusiano tangu my first lover alipoamua kuoa.na sasa imefika muda muafaka nahitaji kuwa serious ila najihisi hata mahusiano niliyonayo siyo imara
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  tupo weeeeeeeeengi kumbe ...
  ukingatwa na nyoka.......ukiona unyasi ....?
  am speechles kwa kweli..
  pole mwaya naelewa tatizo lako sana ...
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  tupo weeeeeeeeengi kumbe ...
  ukingatwa na nyoka.......ukiona unyasi ....?
  am speechles kwa kweli..
  pole mwaya naelewa tatizo lako sana ...
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Poleni wenye matatizo yenu.
   
 5. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  pole mrembo lakini sio sababu ya kukufanya usipende tena, sio wote wabaya nawazuri wapo,jaribu tena na usijimalize sana mwanzoni jaribu kumsoma mwenzio na jipe mda wakumuachia mpenzi wako moyo wako au nisema kumsabilia...muombe mungu kwa sana akupe mume mwenye kheir na wewe....
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ahahaaaa Lizzy bana...thax lakini kua uyaone
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Kwanza pole,inapokutokea mara ya kwanza ukaachwa najua unavyojihisi,nataka nikuambie yote unayofikiri ni kinyume chake.Yaani kama unafikiri huna thamani naomba ujue unayo thamani kubwa sana na hakuna atakaeweza kuindoa mpaka wewe mwenyewe uamue.Pia hakuna atakaeyeweza kukupa furaha ila wewe mwenyewe,acha kufikiri furaha yako italetwa na boyfriend wako au utu wako utakamilishwa nae.Wewe uliumbwa ukiwa kamili na hauhitaji yoyote akukamilishe.Huenda na wao wanajihisi watupu kama wewe na wanahitaji kujazwa,utapoteza muda kuwawaza hawa watu.Niliwahi kutendwa na wanawake nikawa najichukia,lakini kumbe tatizo halikua kwangu bali kwao tangu nimegundua hilo ninajua ninachohitaji kwao,siwezi kuhitaji furaha au utu kutoka kwao kwani najua hawawezi kunipa!
   
 8. mamkindi

  mamkindi Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks smile yani kweli ukiumwa na nyoka hata jani likikugusa unaogopa
   
 9. mamkindi

  mamkindi Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante wangu kwa ushauri wako
   
 10. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Jamani!!! Always naambiwa kuna wanaume weengiii walotulia na kinacho itajika ni subira tu bt kila nikiingia JF matatizo yaleyale. Does it mean waoaji waamifu hawapo tena. My God.
   
 11. mamkindi

  mamkindi Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo ninapenda bila kufanya uchunguzi wa kina matokeo yake mahusiano hayadumu
   
 12. mamkindi

  mamkindi Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapo ila ni wachache sana
   
 13. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Jamani wadogo zangu poleni na hata wewe Smile nakuandikia hii comment hebu ukisha isoma ifanyie kaz, sipend jins ambavyo mnateswa na nafsi zenu wenyewe wapenzi wangu.


  kwanza suala la kujiamini katika mapenz linasababishwa na nini? ukisha pata jibu hapa basi mengine yote yatakuwa rahisi.
  jibu ni kwamba kujiamini kunatokana na kuwa na mpenz ambaye ana kidhi au niseme ana meet vigezo unavyovitaka kwa kiasi kikubwa. kumbuka vipo vigezo ambavyo mume wa aina yeyote mtarajiwa anatakiwa awe navyo kama vile kujiamini, awe na nidhamu, awe muwajibikaji, awe na upendo, awe anajali, asiwe mtu asiyejua wajibu wake hasa katika mahusiano, awe mwenye kupenda familia. pia awe mtu mwenye msimamo na anaye mpenda au mcha mungu. hivi kwangu mimi ni vigezo vya lazima sana kwa mume mtarajiwa. sasa kama ukimpata mtu anaye meet haya kwa kiwango kikubwa definately utakuwa na confidence naye.

  ishu ya kwamba ataniacha na kuoa mtu mwingine inakuja kama miongoni mwa hivi vigezo vikubwa hutaviconsoder. mathalani mtu mwenye upendo, anayejali, muwajibikaji, anayependa familia, mwenye msimamo na mcha mungu, basi atakuwa ni mtu ambaye anataka mke na mwenzi wa maisha na wala siyo wa kubip tu. inatakiwa sasa hivi mfike mahali ma boyfriend muachane nao na mtamani kuwa wenzi wa maisha. unajua ni kweli kuwa boyfriend wako anaweza kuishia kuwa mumeo na pia kuna wakati hili huwa halitimii na ii husababishwa na ma bf wengi kuchaguliwa kwa kigezo cha uhandsome na u much know kuliko vitu muhim nilivyovitaja hapo juu.

  pia ifike mahali ninyi wadada muwe outstanding in such a way mtu akitoka na wewe aone kabisa you can make a good wife na siyo a good cinema or outing partiner. wadada mnajisahau sana kwenye hili try to be real msiwe ni watu kwa muonekano wa kwanza mnapendeza kwenda out, cinema na beach lakini muonekano wa ndani wa kuwa mama utakayelea familia yenye ndugu toka pande mbili na watoto mnaonekana hamtaweza. na hili linaonekanaga bila hata kuish na mtu. so take care sana na aina ya muonekano mlionao.

  mwisho kabisa nasisitiza kusali na kumwachia mungu afanye, wewe timiza ya kwako na mengine yaliyo ya mungu mwachie. siwanyimi kutooka bali nawaambia ukweli manake ninawaskia sana hawa ambao huwa wanataka kuoa na wanakuja na hoja kuwa bint fulan simui kwasababu yule ni wa cinema tu au ni wa kula raha tu bufuture hana.

  mwisho mod naomba ukurasa na mimi niwe nawafunda hawa wadada wa jf manake naumia sana kwa ajili yao.

  nawasilisha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mamkindi pole mwaya, jiamini make we co wa kwanza kuachwa. cha muhmu be careful na hawa viumbe wanaoitwa wanaume. mchunguze kwanza kabla hujaingia ktk mahucano.jiridhishe kuwa ndo mwanaume wa matarajio yako ndipo uanzishe mahucano. fuata na tumia akili sana kuliko moyo. otherwise utakuwa unaiona dunia imegeuka up-side down whn it comes to a r'ship. moyo huwa mdanganyifu kwel na ndo kiungo cha kwanza kuumia ukitendwa! fuata akil itakusaidia. ni muono wangu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Poleee. . . .
   
 16. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Kaazi kweli kweli
   
 17. Delvis

  Delvis Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Imencipate ur self frm the mantle slave garl' iyo cönfidence unaitengeneza mwenyewe' acha kujifunga kwenye gereza lako mwenyewe'
   
 18. mamkindi

  mamkindi Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks kwa ushauri wako, nimefikia kipindi na mie nahitaji kuwa na familia ila hawa viumbe kwa kweli ni ngumu sana kutambua muongo na mkweli yote ni kumwachia mungu
   
 19. mamkindi

  mamkindi Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks sana kwa maoni yako na ushauri nitayafanyia kazi
   
 20. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Oookay Now i got the Picture. Dnt ask
   
Loading...