Darlingtone
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 390
- 146
siichukulii personal hata kidogo, tazama ninapotofautiana na wewe ni hapa: kwamba kama niki- confirm mhusika huangalia kwenye system kama kweli kuna nafasi, na ndivyo alivyofanya, mpaka hapa kanuni ya FIFO iko sawa kwani anauhakika amenigawia kiti(saeat), kisha akashauri nipande shutle. One hr later naambiwa ndege imejaa. Hapa kunakosa gani kwa abiria?, kama abiria angekuwa alinunua tkt siku nyingi harafu akaenda kuomba kusafiri two hrs b4 harafu akaambiwa hakuna nafasi na akaja kualalamika hapa janvini ingekuwa sahihi kumueleza theories za FIFO-issue tunayozungumzia hapa ni kuwa abiria amehakikishiwa kusafiri na kampuni husika kisha anaambiwa ndege imejaa akiwa ndani ya uwanja.
....mzee hujasoma post yangu yote pia naona humsomi vizuri Pdidy! Kuna point ya pili ambayo na mimi nasema makosa yule mhudumu wa Moshi anayo mbona unaignore? yule ndo amekuingiza mkenge.....hakuwa makini, kabla ya kukuruhusu uondoke upo?
mkuu si mmesema tusi-personalize?, sijatilia maanani kuhusika kwa mfanyakazi wa moshi katika hili(angefanyahivi kwa interest gani?) kwani kabla ya kuprint ticket aliangalia kwenye system akaona inafaa kuni-place kwenye travelers list otherwise system ingekataa: personally i hold responsible the whole co, kwa kulea uzembe na tabia mbaya ya staff wake. Imewahi kuona malalamiko kama haya juu ya precission air lakini sikujua kuwa kwangu ingetokea ya aina hii. Btw, nimesharudishiwa nauli niliyolipa na kuchapa lapa.

....kuna uwezekano mkubwa yule mfanyakazi ni mzembe, kilaza ref. point ya PDIDY!
..wamefanya vema kukurudishia mkwanja......! jaza wese piga mashine Dar saa nne kama bado hujaondoka!