utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
ha ha ha ha ha kwa hiyo mkuu unamshauri aje kwenye mtongozano?
Kwakuanzia labda tungeanza hapo mkuu
ha ha ha ha ha kwa hiyo mkuu unamshauri aje kwenye mtongozano?
yan kila msichana ambae nimetokea kumpenda na kumueleza hisia za kwel huwa ananipiga cha mbavu, lakn yule ambae namtongoza kimasihara, huwa anazama na kunipenda kwa dhat,lakn cdumu nae cha ajab,mpaka nafikia hatua nakata tamaa. Wakat mwingne najiona kama nina gundu. Pleas makaka na madada ur advice nifanyeje ili niweze kumpata nimpendae.pls
Simpo. Fanya kinyume chake.
Kwa yule ambaye huna mpango nae mtongoze kwa kumweleza "hisia za kweli".
Kwa yule ambaye umetokea kumpenda kweli mtongeze kimasihara.
Mwambie kimasihara kuwa viatu alivyovaa vinafanana kabisa na viatu vya bibi yako mzaa baba kitu ambacho kinakupa wasiwasi mkubwa sana kuwa huenda hata chupi aliyovaa ni ya kizee.
Nakwambia siyo tuu atazama na kukupenda kwa dhati bali atataka pia kukudhibitishia kuwa havai chupi za kizee. lol.
Wakati mwingine kuwa too serious is not attractive. Kutongoza is supoosed to be fun bana. Kukubaliwa au kukataliwa is all part of the game.
Siyo wanawake wote wanahitaji kuvalishwa pete na kuzaa watoto straight away. Sasa wewe ukiingia na gia ya pete wala hutasikilizwa.
Pia inasemekana kuwa wanawake wengi wanapenda kuambiwa "uongo" zaidi kuliko ukweli, if you know what I mean.
They love the drama, sitting at the edge of their seat, etc kwenye mchakato mzima wa kutaka ku-occupy ile ardhi yenye rutuba katikati ya mapaja yao.
Hata Kongosho, our expert of reading between the legs atakubaliana nani angalao kwa asilimia chache bila kudai hati origino.
Sijui huna "bahati ya kupendwa" na wanawake wa aina gani, lakini kama ilivyo kwa wasichana, pia kuna baadhi ya wanawake wengine hata wakifikia umri mkubwa au wakibahatika kuwa na fedha za kuwatosha bado wanaona drama is still cute or even necessary to be attracted to you.
Halafu kupendwa siyo bahati. Ni kitu natural, ispokuwa wale wanaoangalia size ya wallet kwanza.
But the botton line, waheshimu hawa wakazi wa Venus nao watakuheshimu. Heshimu mawazo yao. Heshimu uhuru wao wa kuamua wampende mwanaume wa aina gani.
Did you know that kuheshimiwa hakuna madhara kama ilivyo kupendwa?
Where hav you been? Uko unasaka orijino iliyochakachuliwa?
BTW, nime-advance siku hizi, I do aura reading pia, so if you want to see your future katika mahusiano, nione.