Sina bahati ya kupendwa!

Sina bahati ya kupendwa!

Huna bahati ya kupendwa wakati umesema ukitongoza kwa nasihala binti anazama kukupenda...au upendwe na nani ili ujue umependwa......Hayo tu
 
ueleweki na itakukost tambua kwanza unamtaka mwanamke wa namna gani na kwa ajili gani,,je unatafuta galfriend wa malengo ya mbali au ujana in work???then ndo urudi hapa na kama hili ni tangazo pia kuwa specific watu wakufate huko pm
NB;NASHAURI TU NINA MPENZI
 
Kaoge Maji ya Bahari kwa kutumia Magadi gram 20 changanya na Sabuni ya Unga gram 10.
Siku moja tu -Gundu lote kwisha.
Uone watakavyokugombania hao unaowapenda.
 
yan kila msichana ambae nimetokea kumpenda na kumueleza hisia za kwel huwa ananipiga cha mbavu, lakn yule ambae namtongoza kimasihara, huwa anazama na kunipenda kwa dhat,lakn cdumu nae cha ajab,mpaka nafikia hatua nakata tamaa. Wakat mwingne najiona kama nina gundu. Pleas makaka na madada ur advice nifanyeje ili niweze kumpata nimpendae.pls

Tafuta pesaaa wewe
 
Kulingana na maelezo yako Ingekua vizuri kama post yako ungeiita " napenda nisipopendwa au sina bahati ya kupendwa na ninaowapenda".
 
yan kila msichana ambae nimetokea kumpenda na kumueleza hisia za kwel huwa ananipiga cha mbavu, lakn yule ambae namtongoza kimasihara, huwa anazama na kunipenda kwa dhat,

Simpo. Fanya kinyume chake.

Kwa yule ambaye huna mpango nae mtongoze kwa kumweleza "hisia za kweli".

Kwa yule ambaye umetokea kumpenda kweli mtongeze kimasihara.

Mwambie kimasihara kuwa viatu alivyovaa vinafanana kabisa na viatu vya bibi yako mzaa baba kitu ambacho kinakupa wasiwasi mkubwa sana kuwa huenda hata chupi aliyovaa ni ya kizee.

Nakwambia siyo tuu atazama na kukupenda kwa dhati bali atataka pia kukudhibitishia kuwa havai chupi za kizee. lol.

Wakati mwingine kuwa too serious is not attractive. Kutongoza is supoosed to be fun bana. Kukubaliwa au kukataliwa is all part of the game.

Siyo wanawake wote wanahitaji kuvalishwa pete na kuzaa watoto straight away. Sasa wewe ukiingia na gia ya pete wala hutasikilizwa.

Pia inasemekana kuwa wanawake wengi wanapenda kuambiwa "uongo" zaidi kuliko ukweli, if you know what I mean.

They love the drama, sitting at the edge of their seat, etc kwenye mchakato mzima wa kutaka ku-occupy ile ardhi yenye rutuba katikati ya mapaja yao.

Hata Kongosho, our expert of reading between the legs atakubaliana nani angalao kwa asilimia chache bila kudai hati origino.

Sijui huna "bahati ya kupendwa" na wanawake wa aina gani, lakini kama ilivyo kwa wasichana, pia kuna baadhi ya wanawake wengine hata wakifikia umri mkubwa au wakibahatika kuwa na fedha za kuwatosha bado wanaona drama is still cute or even necessary to be attracted to you.

Halafu kupendwa siyo bahati. Ni kitu natural, ispokuwa wale wanaoangalia size ya wallet kwanza.

But the botton line, waheshimu hawa wakazi wa Venus nao watakuheshimu. Heshimu mawazo yao. Heshimu uhuru wao wa kuamua wampende mwanaume wa aina gani.

Did you know that kuheshimiwa hakuna madhara kama ilivyo kupendwa?
 
Back
Top Bottom