Sina bahati au ninagundu?

Sina bahati au ninagundu?

Joined
Nov 23, 2018
Posts
58
Reaction score
47
Ndugu wana JF,
Nimeomba mkopo elimu ya juu mwaka wa pili ila nimekosa.
Na nilisoma private advanced level. Je? kuna msaada ambao naweza upata ili nipate mkopo?
Kama utakuwepo naomba msaada namba 0784735106.
 
Ndugu wana jf.
Nimeomba mkopo elmu ya juu mwaka wa pili ila nimekosa. Na nilisoma private advanced level.
Je? kuna msaada ambao naweza upata ili nipate mkopo?. kama utakuwepo naomba msaada namba 0784735106
Ambatanisha vyeti vya vifo vya wazaz wawil hta kwa kufoj vyenye muhur wa Rita,,pia km umesoma private faida ni kubwa nenda shule uliyo soma uombe barua ya kua umesomeshwa hpo yaan ya ufadhili then ambatanisha kitu rahc,,bt subir pg 655 na kuendelea hazionesh majina subir walete uangalia
 
Mkuu msaada wa kwanza unaoutaka ni kuondoa hiyo mentality uliyonayo
"sina bahati au nina gundu "
Itakugharimu sana mbeleni hata kutoboa katika life kama utaendelea kuamini katika bahati na masuala ya mikosi.

Change your attitude.

Msaada wa pili ndo suala la mkopo :-

Majina ndo yametoka batch ya kwanza so kuna batch zinakuja zinaweza fika hata tatu au nne hivyo kuwa mvumilivu, wife nilimfanyia application mwaka jana batch ya kwanza hakuwepo nikakuambia mama usikate tamaa bado nafasi ipo, batch ya pili hayupo, batch ya tatu ndo alikuja kufanikisha alifurahi na nilipata vyote sikuhiyo (mengine hupaswi kujua bwana mdogo). Hivyo kiujumla usikate tamaa pale unapoona mambo hayaendi kama ulivyotegemea haina maana yatakuwa hivyo milele.

Be courageous, everything gonna be alright.
 
Kwel kuna batch 3 mbele
 
Ambatanisha vyeti vya vifo vya wazaz wawil hta kwa kufoj vyenye muhur wa Rita,,pia km umesoma private faida ni kubwa nenda shule uliyo soma uombe barua ya kua umesomeshwa hpo yaan ya ufadhili then ambatanisha kitu rahc,,bt subir pg 655 na kuendelea hazionesh majina subir walete uangalia

Kuanzia page ya 655
Ni zile ambazo zilibakia mwisho kwa page za mwanzo zenye majina.
Wakati wa kuprint huenda kutokana na nafasi kuwa ndogo ndio maana ikakata baadhi ya maneno.
 
yale ndio majina yote ya awamu ya kwanza , zipo page 653 zenye majina na kila page ina majina 47 kasoro page ya 653 ina majina 34.ukipiga hesabu hapo utaona inakuja hio 30k..

ni kweli wakati wa kuprint/ save as pdf haikutosha ndio mana imekata hizo 2019/ 2020 lakin watu hawakuelewa walidhan ni blank page..
 
Ndio maana nilikuwa namwambia huyo hivyo.
 
Ambatanisha vyeti vya vifo vya wazaz wawil hta kwa kufoj vyenye muhur wa Rita,,pia km umesoma private faida ni kubwa nenda shule uliyo soma uombe barua ya kua umesomeshwa hpo yaan ya ufadhili then ambatanisha kitu rahc,,bt subir pg 655 na kuendelea hazionesh majina subir walete uangalia
Hii njia nilimpaga dogo langu. ,alisoma private, akapata mkopo safi kabisa

Sijui kwann watu hawajiongezagi,

Mm kwenye ishu za kufoji nipo fasta sana
 
Back
Top Bottom