Sina Amani..,

Sina Amani..,

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
632
Maombi yenu wakuu..[emoji22]
IMG-20181011-WA0036.jpg
 
Aiseee sasa hivi watu wanaogopa kwenda GYM kisa wazungu wawili.
Ila nasikia kuna nabii kasema atapatikana kabla ya saa tano leo
 
Huyo anayesambaza habari kuwa waliomteka ni wazungu akamatwe mara moja.
 
Huyo anayesambaza habari kuwa waliomteka ni wazungu akamatwe mara moja.
Kwani si nimesikia kwa jamaa yetu mwenyewe akisema walikuwa ni wazungu kwahiyo ni raia wa kigeni au mimi ndo nilimsikia vibaya..!!?
 
Kwani si nimesikia kwa jamaa yetu mwenyewe akisema walikuwa ni wazungu kwahiyo ni raia wa kigeni au mimi ndo nilimsikia vibaya..!!?

Huyo ndiye wa kukamtwa atueleze vizuri nini kiko nyuma ya pazia, hizi dana dana hizi si bure.
 
Back
Top Bottom