Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,845
Wakuu salam aleykum. Ndugu katika imani niseme ukweli tu,
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah, ila tu kiukweli sina amani na maisha ya mjini. Napachukia sana sana, sana, sana, natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa. Mimi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.
Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku. Napenda maisha ya kukaa mbali na ndugu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu. Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.
Napenda niishi kama babu zetu ambao walikuwa wanakaa vijijini huko ndani ndani, ndio kitu napenda. Je, nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu?
Nitafurahi sana pia akipatikana mtu atakayenipa wazo bora la mimi kufika huko.
Asanteni πππππ
#twendezetukijijini Jumlisha