Simwelewi mwenzangu

Simwelewi mwenzangu

boresheni mawasiliano yenu ya kila siku;mahusiano yakiwa poa kila kitu kitafanyika vizuri
 
sio kila siku lazima mfanye bana,hasa kwa sisi kina dada stimu zetu ziko mbali sio kila siku mwili
unaweza ukapata hamasa ya kufanya stimu nazo zinakata!!!unaweza mkafanya mambo mengine kama kutoka out na mke wako,,ama jambo lolote la kuwafanya muwe pamoja,,
 
nawashauri ujipange mrudie honeymun japo three days mkirudi mtakua fresh

badilisha uwanja wa nyumbani halafu amwone doctor ambadilishie hivyo vidonge kwake sio vizuri wengi wanabadilika sana na hivyo vidonge,
 
Hi wana jamvi heshima mbele !!
Wajameni mwenye ujuzi na hili, swala kuna kitu kigeni kimejitokeza katika mahusiano yangu na shemeji yenu.
Nakumbuka mwanzoni kabla hatujaoana tulikuwa tukiinjoi mapenzi kama kawaida,ila katikati ya mwaka jana ndo hii kitu imeanza .
Kwa kifupi ni kwamba naweza kuchukua hata dakika 40 kumwandaa mwenzangu yaani natumia kila mbinu,nazama chumvini,nafanya kila ninalolifahamu lakini mwenzangu bado hasisimki na hata akisisimka mnadoo kabla hata sijamwaga waarabu utakuta mashine inaanza kuwa kavu hadi nasikia maumivu na yeye hudai kuwa anaumia kitu ambacho kimenipotezea mvuto wa kufanya mapenzi.
Kali kuliko sasa hivi ameanza kamtindo fulani yaani anachukua dushelele yangu na kuanza kuisugua kwenye panga lake lililoko nje ya lango,basi atasugua weee hata dakika arobaini hadi mwarabu anatapika kwa uchovu lakini utakuta macho yake makavu tu atajipiga madole wee lakini wapi.
Sasa wana jamvi hivi ni kitu gani kinaendelea hapa nimejaribu kumchunguza kwa siri ili nijue labda ana mtu mwingine
nimeambulia patupu nikimuuliza ana tatizo gani au nimemkwaza wapi anasema yupo safi.Taratibu naanza kuona mke wangu hanivutii !! na kupiga gemu za ugenini naogopa maradhi.
busara zenu zinahitajika wakuu. ANGALIZO KAMA HUNA LA KUCHANGIA KAA KANDO KULIKO KULETA MIZAHA.

Mpe talaka TATU. Anakupotezea muda.

Ameshakutana n mtu na amemfanyia ile kitu ya Bukoba. Hapo hata ufanye nini hato-enjoy, mpaka umfanyie ile kitu. Huoni kama yeye mwenyewe huwa anachukuwa nanihii yako na kujifanyi mwenyewe? Mtafute Ta Muganyinzi akupe shule uokoe ndoa yako
 
Kaka ni vidonge vya uzazi hivyo
Hili tatizo kwa sasa ni kubwa sana kwa wanawake lakini watu hawajastukia issue
Mwambie aache kutumia kwa muda na jaribuni kutumia kalenda kwa muda fulani muone kama atakuwa na shida hiyo tena
 
Hi wana jamvi heshima mbele !!

Wajameni mwenye ujuzi na hili swala, kuna kitu kigeni kimejitokeza katika mahusiano yangu na shemeji yenu.
Nakumbuka mwanzoni kabla hatujaoana tulikuwa tukiinjoi mapenzi kama kawaida, ila katikati ya mwaka jana ndo hii kitu imeanza .
Kwa kifupi ni kwamba naweza kuchukua hata dakika 40 kumwandaa mwenzangu yaani natumia kila mbinu, nazama chumvini, nafanya kila ninalolifahamu lakini mwenzangu bado hasisimki na hata akisisimka mnadoo kabla hata sijamwaga waarabu utakuta mashine inaanza kuwa kavu hadi nasikia maumivu na yeye hudai kuwa anaumia kitu ambacho kimenipotezea mvuto wa kufanya mapenzi.
Kali kuliko sasa hivi ameanza kamtindo fulani yaani anachukua dushelele yangu na kuanza kuisugua kwenye panga lake lililoko nje ya lango,basi atasugua weee hata dakika arobaini hadi mwarabu anatapika kwa uchovu lakini utakuta macho yake makavu tu atajipiga madole wee lakini wapi.

Sasa wana jamvi hivi ni kitu gani kinaendelea hapa nimejaribu kumchunguza kwa siri ili nijue labda ana mtu mwingine
nimeambulia patupu nikimuuliza ana tatizo gani au nimemkwaza wapi anasema yupo safi.Taratibu naanza kuona mke wangu hanivutii !! na kupiga gemu za ugenini naogopa maradhi.
busara zenu zinahitajika wakuu. ANGALIZO KAMA HUNA LA KUCHANGIA KAA KANDO KULIKO KULETA MIZAHA.

This is private business. Kila mtu anabeba msalaba wake.
 
huu uzoefu umeutoa wapi wewe?
Umeshlipia mchango wangu na sweetlady wa party nyeupe? Nimefanya booking twende shopping ya mavazi dubai, saa hizi USA kuna baridi hatutapata viwalo

Mf. . .mie tena. . .nisijue mpenzi, kwanza hukuniambia ile account nnayotakiwa kufanya ile T/T. . .Nimekutumia e-mail hujajibu. . .anyways nimeamua kudeposit 1 thou $ kwenye acc yako ufanye hiyo transaction mwenyewe, . .vp ile trip ya shelisheli tunaenda?
 
Last edited by a moderator:
pole kwa tatizo ilo tafuteni muda ambao utaona mkeo anafuraha sana siku hiyo alafu jaribu kumdadis kiutani kuhusu maswala ya kimahaba utagundua kitu na kumpa michezo mbali mbali ya kimahaba unaweza kugundua kitu
 
badilisha uwanja wa nyumbani halafu amwone doctor ambadilishie hivyo vidonge kwake sio vizuri wengi wanabadilika sana na hivyo vidonge,

wewe umeongea ukweli. Nini hakika huyu mke wa home boy wangu katumia dawa za uzazi wa mpango bila kumshirikisha mumewe. Unatakiwa umkalishe chine kumuuliza kuhusu hilo.
 
mkuu nashukuru sana kwa kunitangulia kuuliza hili swali kwa wajumbe wetu wazoefu kidogo kwenye haya mambo..hilo tatizo ni kubwa sana kwangu utafikiri ulikuwa na mm wakati unaweka kwenye jamvi.wakuu tunaomba mawazo yenu yenye hekima kunusuru mahusiano yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom