Simuoni nimtakae

Ukiona mwanaume anahonga ujue kuna mwanamke aimshika pabaya hadi minoti ikaanza kumtoka, so kama uko na bahili get to work kumfanya afungue wallet hio.

Sio unamuacha bahili wako na kudandia wahongaji. Msione vyaelea vimeundwa ati!!!!!!!!!!!!!!
Na ukiona umempata mwanamke mkali ujue kuna mwenzako analia kwa kuachwa and virse versa.
 


Kama wabongo wamekushinda, umejaribu kutafuta wazungu? Kwa kukusaidia zaidi, nenda Zanzibar kuna wazungu kule tele wanatafuta wanawake wa muda na wa ndoa.
 
Ukiona mwanaume anahonga ujue kuna mwanamke aimshika pabaya hadi minoti ikaanza kumtoka, so kama uko na bahili get to work kumfanya afungue wallet hio.

Sio unamuacha bahili wako na kudandia wahongaji. Msione vyaelea vimeundwa ati!!!!!!!!!!!!!!

Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Tulia kwanZA Usifanye maamuzi mapema mungu yu pamoja nawe
 
Mume mwema hutoka kwa Bwana vivyo hivyo kwa mke mwema. Ukiona nafsi yako haikutumi kuwa na mtu fulani basi usikurupuke kwani haya mambo hayataki haraka na hasa unapotafuta mume. Mkabidhi Mungu haja yako na hakika Bwana atakujalia mume aliye mwema kwako. Ahsante.
 
assume upo kitua cha basi lengo lako ni kwenda posta ,ukiwa unasubiria gari ikija ya mwenge utapanda?

kweli hapo pagumu,itabidi uzeekee hapohapo kituoni ukisubiri ata kama ruti ya kwenda posta imefutwa.
 
Kama unataka kitu 'ready made' bila kuhangaika mfano nyumba unaweza nunua yeyote na kuishi japo haitakuwa na kila unachokitaka kwasababu hujashiriki kuitengeneza, ila kama unataka nyumba yenye mandhari unayoyajua ww kichwani mwako, inabidi uanzie kwenye kiwanja ushiriki kuitengeneza mpaka ikamilike kama unavyotaka. No shortcut in life. Hizo unazoona ziko poa kuna ambao wamezitengeneza hivyo.
 
hako katabia ka kuchunguza sana bata anachokula kaache then u will soon get
 
vuta subira na usikate tamaa mpendwa,wa kwako wa maisha yu njiani aja.cha msingi endeleza maombi utaona muujiza
 
lakini nina mashaka na ww huwa kwa nn unachunguza??????? Then arent u aware that we beings we are not perfect?????? And we can learn and change if we are tuned to do so.
 
migomba ipo, mwanadamu yoyote anakasoro zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…