mwenzangu mbona umekuwa mkali hivo nakuogopa wewe!!!id yangapi hii maana hata kuomba kukaribishwa umejisahau !unamambo we mtoto!!ila nenda uswahilini hapa jeifu utapoteza mda!wengu humu tuna stresses kila raheli zaidi unaweza kuishia kumegwa at once!
Kujipenda ni A, kuolewa ni B
eehhh kumbe ni hivyo tu rafiki embu fanya kama unamwaga vigezo vyako kiaina maana labda unaset vigexo vikubwa sana kuliko unachostahili..kama utashindwa fanya PM inawezekana ndie niliekua namtafuta ka kipindi kireefuuu...over..!!Angalia profile vizuri sipendi nikujibu vibaya. Kama uko makini utaona hii ndio post ya kwanza hapa. Sijawahi kuja nikaposti kwamba natafuta mume. Kama mume tu mbona wapo wengi ila yule wa ukweli na mwenye vigezo ndio shida kumpata. Jiheshimu mpendwa ili watu wakuheshimu. Kabla hujanena jaribu kuhakiki kama ukisemacho kina ukweli.
BAsi turuhusiwe kujioa binafsi
KakaKiiza mweeeeeView attachment 91474
mbona hawa wamefunga juzi tu mwambie awe na subira wake ajazaliwa asiwe na haraka!!
assume upo kitua cha basi lengo lako ni kwenda posta ,ukiwa unasubiria gari ikija ya mwenge utapanda?eeehhh umenipa za usoni..........ahsante sirudii tena, kumbe wajielewa na kujitambua hivi!!!!
mwenzangu mbona umekuwa mkali hivo nakuogopa wewe!!!
assume upo kitua cha basi lengo lako ni kwenda posta ,ukiwa unasubiria gari ikija ya mwenge utapanda?
Girl You just dont go to MAN SHOPPIN!!!!!!!!!!!! YOU MAKE YOUR OWN MAN! Yah! You red right! MAKE YA OWN MAN! You need to sweat n put ya bottom to some serious charity work of turning those Bozo's you meet to a potential husband!
If you see a complete Man on the road just know your fellow woman sweated her behind to turn that man in anythin near your liking!
So girl put you ya A.s.s to some serious work of turnin a bozo to a man of ya liking! Or else keep searchin what is not there!
CAPISH!!!!!!!!!!!!!
weeeeeeeee wengine ni mifupa iliomshinda fisi wewe binadamu utaiwezea wapi?girl you just dont go to man shoppin!!!!!!!!!!!! You make your own man! Yah! You red right! Make ya own man! You need to sweat n put ya bottom to some serious charity work of turning those bozo's you meet to a potential husband!
If you see a complete man on the road just know your fellow woman sweated her behind to turn that man in anythin near your liking!
So girl put you ya a.s.s to some serious work of turnin a bozo to a man of ya liking! Or else keep searchin what is not there!
Capish!!!!!!!!!!!!!
Girl You just dont go to MAN SHOPPIN!!!!!!!!!!!! YOU MAKE YOUR OWN MAN! Yah! You red right! MAKE YA OWN MAN! You need to sweat n put ya bottom to some serious charity work of turning those Bozo's you meet to a potential husband!
If you see a complete Man on the road just know your fellow woman sweated her behind to turn that man in anythin near your liking!
So girl put you ya A.s.s to some serious work of turnin a bozo to a man of ya liking! Or else keep searchin what is not there!
CAPISH!!!!!!!!!!!!!
duuuh umeshafanya homework we dogo?the gud 1 z nat only 4 searching bt also 4 preparation xo juc prepare yo own man!!!
mwenzangu mbona umekuwa mkali hivo nakuogopa wewe!!!
MMU habari ya kazi kila mmoja wenu?
Nimekuwa msomaji wa MMU bila kujisajili ila leo nimeona niwe member ili nipate ushauri kuhusu hili.
Mwenzenu kwa sasa na kwa age yangu ningependa niwe na mume au hata mchumba. Tangu nimebreak na ex (kwa sababu za kibinadamu na zilizo nje ya uwezo wetu sote) inaniwia vigumu sana kumpata mtu ambae tunawiana na kuendana kwa mambo muhimu ya uhusiano. Tatizo wengi ninaowaona na wanaoniapproach wanakuwa hawana vigezo na wamekaa kisanii sana. Hata akiwa na vigezo vya nje unamkuta maswala ya imani kama mimi niaminivyo hayupo kabisa, au unamuona hajatulia kabisa. Kwakweli ninashindwa kuutoa moyo wangu kafara hasa nionapo kwamba niliye nae sie alafu ning'ang'anie tu. Hata sijielewi mwenzenu. Sijui ni kwangu tu au hata kwa wengine?.
Nifanyeje wapenzi? au niamue tu kuendeleza uhusiano hata pale nafsi yangu inapoona kasoro ambayo ni unbearable kwa mhusika? Siwezi kucheat au kumchora mtu kwamba niko kwenye mapenzi wakati kuna shida naiona, nifanyeje waungwana?
Nategemea mengi kutoka kwenu.
Wenu DT
Smile inategeme upo kituo kipi. Assume upo ile barabara ya Bagamoyo na unataka kwenda posta...itakubidi upande basi la mwenge ndipo uje upande la posta.assume upo kitua cha basi lengo lako ni kwenda posta ,ukiwa unasubiria gari ikija ya mwenge utapanda?
DT,
tupe wasifu wako tafadhali.
Smile inategeme upo kituo kipi. Assume upo ile barabara ya Bagamoyo na unataka kwenda posta...itakubidi upande basi la mwenge ndipo uje upande la posta.
Again pia kama una haraka...
Nonetheless, nimekusoma na ujumbe umefika!!!!:lying:
darling-tone unaweza kusoma ushauri huu kwa kupofya hii link hapa chini utapata pa kuanzia:MMU habari ya kazi kila mmoja wenu?
Nimekuwa msomaji wa MMU bila kujisajili ila leo nimeona niwe member ili nipate ushauri kuhusu hili.
Mwenzenu kwa sasa na kwa age yangu ningependa niwe na mume au hata mchumba. Tangu nimebreak na ex (kwa sababu za kibinadamu na zilizo nje ya uwezo wetu sote) inaniwia vigumu sana kumpata mtu ambae tunawiana na kuendana kwa mambo muhimu ya uhusiano. Tatizo wengi ninaowaona na wanaoniapproach wanakuwa hawana vigezo na wamekaa kisanii sana. Hata akiwa na vigezo vya nje unamkuta maswala ya imani kama mimi niaminivyo hayupo kabisa, au unamuona hajatulia kabisa. Kwakweli ninashindwa kuutoa moyo wangu kafara hasa nionapo kwamba niliye nae sie alafu ning'ang'anie tu. Hata sijielewi mwenzenu. Sijui ni kwangu tu au hata kwa wengine?.
Nifanyeje wapenzi? au niamue tu kuendeleza uhusiano hata pale nafsi yangu inapoona kasoro ambayo ni unbearable kwa mhusika? Siwezi kucheat au kumchora mtu kwamba niko kwenye mapenzi wakati kuna shida naiona, nifanyeje waungwana?
Nategemea mengi kutoka kwenu.
Wenu DT
darling-tone unaweza kusoma ushauri huu kwa kupofya hii link hapa chini utapata pa kuanzia:
https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-mchumba-mwenye-tabia-uzitakazo%85%85-3.html