Pole sana.Angalia profile vizuri sipendi nikujibu vibaya. Kama uko makini utaona hii ndio post ya kwanza hapa. Sijawahi kuja nikaposti kwamba natafuta mume. Kama mume tu mbona wapo wengi ila yule wa ukweli na mwenye vigezo ndio shida kumpata. Jiheshimu mpendwa ili watu wakuheshimu. Kabla hujanena jaribu kuhakiki kama ukisemacho kina ukweli.
Ukiona hivyo, umtakaye hajawasili
wee kaa na mtu ukibuzi buzi tu kwa ajili ya baiolojia
Kwani sheria inasema kuolewa mwisho miaka mingapi?? Hujaona Mangula kaona juzi kati tu labda bado wako fungate?
Ume-invest sana kwenye kutaka kuolewa wakati hata mchumba huna, utajinyonga bure na maisha ni haya haya
mnh labda expectations zako ziko juu sana,jaribu kucompromize kidogo hamna aliye perfect.....
Pole sana.
watu wanakupima pia kwa maneno yako.huenda muoaji yuko humu humu.
ukianza kuutumia mdomo wako "vizuri" mapema hivi, itachukua muda kupata mtu wa type yako.Moja ya sifa ulizo nazo ni ni kwamba " you are irritable".inahitaji mtu mvumilivu kuishi na wewe.
na ndiyo maana kwa sababu za "kibinadamu" hukuweza kudumu na aliyetangulia/waliotangulia
Hapo RED nimepapendaUkijituliza utampata ambae ana nia na wewe na pia itakua rahisi kumtambua. Vilele unapokua unataka kuingia kwenye uchumba mchunguze mfumo wake wa maisha kama kwa kipindi hicho anauweza kuishi na mtu akumudu majukum afu vilevile usijirahisi mapema na kuanza kumpa mapenzi haraka haraka kabla hujasoma mchezo
Ukiona hivyo, umtakaye hajawasili
wee kaa na mtu ukibuzi buzi tu kwa ajili ya baiolojia
Kwani sheria inasema kuolewa mwisho miaka mingapi?? Hujaona Mangula kaona juzi kati tu labda bado wako fungate?
Ume-invest sana kwenye kutaka kuolewa wakati hata mchumba huna, utajinyonga bure na maisha ni haya haya
View attachment 91474
Mbona hawa wamefunga juzi tu mwambie awe na subira wake ajazaliwa asiwe na haraka!!
mwalimu yolanda bado yupo honeymoon eeh! maisha ni haya haya ...sitoacha kufurahia maisha kisa kushobokea wanaume ....
Nilichoandika umekielewa vibaya. Nimeeleza uwepo wa wanaume wasanii, wenye sifa ila imani tofauti, wasio waaminifu n.k Kulazimisha nisipopapenda ni ngumu, pia kila mtu anapima mzigo anaoweza kuubeba, kama siwezi kuubeba basi nautua tu. Kuhusu imani ni haki yangu pia kutetea kile nikiaminicho na kukisimamia. Asante kwa muda wako na ulichokiweka hapa.
furaha zao maybe zipo kwenye kuvaa pete mkononi.Mie kuna watu hadi nadhani hawajipendi
Wanakonda kisa hawana mme, jamani
Anyway, ni malengo ya maisha tu
mmu habari ya kazi kila mmoja wenu?
Nimekuwa msomaji wa mmu bila kujisajili ila leo nimeona niwe member ili nipate ushauri kuhusu hili.
Mwenzenu kwa sasa na kwa age yangu ningependa niwe na mume au hata mchumba. Tangu nimebreak na ex (kwa sababu za kibinadamu na zilizo nje ya uwezo wetu sote) inaniwia vigumu sana kumpata mtu ambae tunawiana na kuendana kwa mambo muhimu ya uhusiano. Tatizo wengi ninaowaona na wanaoniapproach wanakuwa hawana vigezo na wamekaa kisanii sana. Hata akiwa na vigezo vya nje unamkuta maswala ya imani kama mimi niaminivyo hayupo kabisa, au unamuona hajatulia kabisa. Kwakweli ninashindwa kuutoa moyo wangu kafara hasa nionapo kwamba niliye nae sie alafu ning'ang'anie tu. Hata sijielewi mwenzenu. Sijui ni kwangu tu au hata kwa wengine?.
Nifanyeje wapenzi? Au niamue tu kuendeleza uhusiano hata pale nafsi yangu inapoona kasoro ambayo ni unbearable kwa mhusika? Siwezi kucheat au kumchora mtu kwamba niko kwenye mapenzi wakati kuna shida naiona, nifanyeje waungwana?
Nategemea mengi kutoka kwenu.
Wenu dt
Mtambuzi, snowhite, MziziMkavu, saidieni kutoa somo hapaMMU habari ya kazi kila mmoja wenu?
Nimekuwa msomaji wa MMU bila kujisajili ila leo nimeona niwe member ili nipate ushauri kuhusu hili.
Mwenzenu kwa sasa na kwa age yangu ningependa niwe na mume au hata mchumba. Tangu nimebreak na ex (kwa sababu za kibinadamu na zilizo nje ya uwezo wetu sote) inaniwia vigumu sana kumpata mtu ambae tunawiana na kuendana kwa mambo muhimu ya uhusiano. Tatizo wengi ninaowaona na wanaoniapproach wanakuwa hawana vigezo na wamekaa kisanii sana. Hata akiwa na vigezo vya nje unamkuta maswala ya imani kama mimi niaminivyo hayupo kabisa, au unamuona hajatulia kabisa. Kwakweli ninashindwa kuutoa moyo wangu kafara hasa nionapo kwamba niliye nae sie alafu ning'ang'anie tu. Hata sijielewi mwenzenu. Sijui ni kwangu tu au hata kwa wengine?.
Nifanyeje wapenzi? au niamue tu kuendeleza uhusiano hata pale nafsi yangu inapoona kasoro ambayo ni unbearable kwa mhusika? Siwezi kucheat au kumchora mtu kwamba niko kwenye mapenzi wakati kuna shida naiona, nifanyeje waungwana?
Nategemea mengi kutoka kwenu.
Wenu DT
Mie kuna watu hadi nadhani hawajipendi
Wanakonda kisa hawana mme, jamani
Anyway, ni malengo ya maisha tu
mwalimu yolanda bado yupo honeymoon eeh! maisha ni haya haya ...sitoacha kufurahia maisha kisa kushobokea wanaume ....
Mauberopole sana.
Watu wanakupima pia kwa maneno yako.huenda muoaji yuko humu humu.
Ukianza kuutumia mdomo wako "vizuri" mapema hivi, itachukua muda kupata mtu wa type yako.moja ya sifa ulizo nazo ni ni kwamba " you are irritable".inahitaji mtu mvumilivu kuishi na wewe.
Na ndiyo maana kwa sababu za "kibinadamu" hukuweza kudumu na aliyetangulia/waliotangulia
mpaka awe anaiwezea hiyo nafasi sasa.sio wanaume wote ni waume wa kuishi nao ndani.hongera sana bibie ........ Ila nafasi ya -me ipo palepale, no matter unatafanya sarakasi nyingi kiasi gani!!!!!
ID yangapi hii maana hata kuomba kukaribishwa umejisahau !unamambo we mtoto!!ila nenda uswahilini hapa jeifu utapoteza mda!wengu humu tuna stresses kila raheli zaidi unaweza kuishia kumegwa at once!
furaha zao maybe zipo kwenye kuvaa pete mkononi.
Wewe kwa kuwa umempata tayari eeehhhh ....... sawa bhana!!!!
mpaka awe anaiwezea hiyo nafasi sasa.sio wanaume wote ni waume wa kuishi nao ndani.