waungwanaTz
Member
- Aug 6, 2024
- 11
- 9
Hodi waungwana.
Hii ni awamu ya kwanza ya
" SIMULIZI ZA WAUNGWANA"
Awamu hii itakuwa na simulizi saba.
Simulizi hizo ni:
1.ASANTE.
2.NUKTA.
3.NZI.
4.SHETANI.
5.SIFA.
6.UZITO.
7.YAI.
Lengo la simuluzi hizi ni kuibua mijadala ya kiungwana kisha waungwana kutumia mijadala hiyo kuelimishana,
kuonyana,kukosoana,
kupongezana,kupeana ushauri na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali kwa njia ya kiungwana.
Kwakuwa hii ni awamu ya kwanza,ni wazi kuwa simulizi hizi zitakuwa na mapungufu mengi.Natumia nafasi hii kuwaomba muwe na moyo wa kuvumilia mapungufu hayo lakini pia mtoe mawazo yenu ya namna ya kuboresha similizi hizi ili simulizi za awamu ijayo ziwe bora kuliko za awamu hii.
Asanteni.