Simulizi ya Oktoba 29

Watu kama ww ndo mnatufutwa na Ile tume ili mkapige picha
 
nonsense
 
Suluhu ni kutubu na kuomba msamaha.damu ya mtu hunena hulia.wote waliofanya yale wataisha moja moja.
Acheni mikwara nyie watu. Dunia nzima dola haichezewi.

Mlitaka kuivuruga Tanzania mkashughulikiwa.

Kusema damu ya mtu hunena ni kuendelea kujitilisha huruma mbele ya watu.
 
Acheni mikwara nyie watu. Dunia nzima dola haichezewi.

Mlitaka kuivuruga Tanzania mkashughulikiwa.

Kusema damu ya mtu hunena ni kuendelea kujitilisha huruma mbele ya watu.
Ndgu umemwaga damu isiyo na hatia subiri majibu.elewa unapambana na nature (nguvu ya asili ambyo inamilikiwa na MUNGU na yy ndye hakimu wa haki)
 
Cha kusikitisha, wachache miongoni mwa watu wa ndani ya nchi—waliotawaliwa na tamaa, majivuno, na maslahi binafsi—walichagua kuisaliti nchi yao
Pale walipolazimisha kugombea pekeyao na kuwaweka magerezani wapinzani wao, na wengine kuwaengua kihuni.
 
Preamble ya majumuisho ya Tume ya mzee Chande sio.

Una set agenda ili kutuandaa kisaikolojia. Its too late wengi wameshahabarisha kuhusu.mtazamo kama wako
 
Kuuma wewe unakatwa
 
walituuumiza sana watu binafsi tunaotafuta hela zetu kwa juhudi kwa kuiba na kuchoma vitu, usitukumbushe machungu bado nina hamu wapasuliwe vichwa waliobaki ungejua
 
wangeandamana barabarani na kuchoma vituo vya kura tu au kujaaa barabarani kuelekea sehemu maaalum sio kuiba na kuchoma vitu vya watu binafsi, ule ulikuwa ujambazi kwenye kivuli cha uchaguzi
 
Suluhu ni kutubu na kuomba msamaha.damu ya mtu hunena hulia.wote waliofanya yale wataisha moja moja.
tunajuaje kwamba hawatoisha kwa vifo vya kawaida tu kama hali ya kila siku ya mwanadamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…