Simulizi ya kusisimua

Kabwe makenika jitu kumbuka katika vita dhidi ya unyama wa mafia MOB.shukrani mkuu kwa hadithi yako ya kusisimua.
 
Kabwe makenika jitu kumbuka katika vita dhidi ya unyama wa mafia MOB.shukrani mkuu kwa hadithi yako ya kusisimua.
mkuu hicho kitabu cha kabwe makenika na yule mzee wa arusha na yule chekbob ziggy ninacho ila karatasi baadhi za mwanzo na mwisho zimekatika hivyo sinajua kinaitwaje na wapi naweza kukipata mtu hatari sana yule na mission ya halima na baba yake kuiba dhahabu Williamson gold mine,daa jamaa kabwe noma sana ni full mafia
naomba msaada wa jina lake na wapi nitakipata,shukrani
 
Haaa mkuu umerudi
Au kile kisa cha SITAKI DAWA ckukisoma vizuri
Sikusema najiua mkuu...just not taking any meds!

Sent from my MediaPad 7 Youth 2 using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe huu uwafikie mapolisi wote waonevu, wababe, wasio na utu, wenye tamaa.

Maimuna & her mama is around.
Tafuta cha kujifunza. Usisome ili utafute nani ajifunze nini.

Wewe imekufunza nini??????

Sent from my MediaPad 7 Youth 2 using JamiiForums mobile app
 
Tanga kunani....loh! Mie nimeamua kuamini kuwa hadithi hii ni kisa cha kweli...kwan huu ulimwengu kuna mambo yako njee ya uwezo wa kawaida wa kufikiri na kuhoji....! Hongera msimuliaji....hasa ulivomaliza simuliz yako. Lakin hongera sana kwa kubadilika tabia na kuwa mwadilifu. Mwisho kabsa niseme Shikamoo Tanga!
 
Mkuu kile kitabu kinaitwa UNYAMA WA MAFIA.nilikisoma miaka ya 90,sema sijui kinapatikana wapi sababu mi siko tz.
 
Mkuu kile kitabu kinaitwa UNYAMA WA MAFIA.nilikisoma miaka ya 90,sema sijui kinapatikana wapi sababu mi siko tz.
daa shukrani sana nitafuatilia kwenye maduka yote makubwa ya vitabu.
 
Haahahahahaha mkuu umeua
 
Ama kwa hakika Tanga Ina vituko Sana, nimesoma hii simulizi Kama vile naangalia muvi Mana maeneo yote aloyataja kwenye hii simulizi nayajua vema, kuanzia Barbara ya 8 jamaa, msambweni Kota za polisi Hadi magomeni mbuyu Kenda. Pole na hongera kwa kutupa funzo la kuwa waadilifu kwa Kila kazi tunazozifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…