tatizo wanafanya biashara,Tatizo mnaleta wenyewe kwa hiari yenu lakini mkiulizwa kama hivi mnaanza lawama.
Kama ulikuwa umefika mwisho basi ungesema.
Nb;Na hapa suala si nayachukuliaje maandishi, bali ni kazi km wengine walivyo na kazi zao. Kwa sababu hata mimi nikikupa kazi yangu uifanye hutaweza.
Naona ulikaa kimya kimtego kutafuta mtu aongee ili upate pa kuchomokea. Tutakuuliza tu hata ufanyeje! Hakuna haja ya kuleta story halafu unakaa mwezi ndiyo uje tena.
Kuna wengine waliacha kusoma story za humu.
But ulikuja kwa hiari na umeondoka kwa hiari , usitafute vimaneno maneno.
USHAURI
Unapoleta kazi yako ni bora ukasema nitaleta episodi kiasi fulani na baada ya hapo ni biashara.. Unatutafutaga ugomvi wewe.
HONGERA KWA KAZI NZURI NIMEZIPENDA KAZI ZAKO.
Ngoja nirudi Jijini nikacheze kamari. ASANTE na KARIBU!
Bora umesema ukweli. Na lile lihadithi la Jiji la Kamati SILISOMI!Mkuu let me be very clear to you: sijisikii na wala siileti kwa kujisikia.
Binafsi sijajua maandishi huwa unayachukuliaje ila maandishi ni biashara kama ambavyo wewe unawekeza nguvu zako kwenye kazi au biashara nyingine ila tupo kwenye taifa ambalo waandishi tunahesabika kama watu wa charity.
NB.
Sitaileta tena hapa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuhusu hilo hata usijali kabisa.Bora umesema ukweli. Na lile lihadithi la Jiji la Kamati SILISOMI!
👍👍👍👍
Shukrani brother [emoji1666]Hongera kwa utunzi mzuri na asante kwa hapa ulipofikia, kila la heri mwamba FEBIANI BABUYA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni miongoni mwa waandishi uchwara.Mkuu FEBIANI BABUYA naona hapa umepasahau kabisa mwanawane...hebu tupe mwendelezo wa mwamba CalvinJr...
Punguza emotions mkuu.Hao ni miongoni mwa waandishi uchwara.
Dah mkuu nilijua umetupia muendelezo kumbe umeleta vijembe tu humu!!! 🤔Punguza emotions mkuu.
Mpaka sasa bado tu unalo moyoni?[emoji28]
Ok mimi ni mwandishi uchwara, Happy now? Kama umeridhika basi move on mkuu, soma kinachokupa burudani otherwise relax.
NO HARD FEELINGS.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🤣🤣 mtaniuaDah mkuu nilijua umetupia muendelezo kumbe umeleta vijembe tu humu!!! 🤔
Waoooooow asaante sana ubarikiwe maaana nilikuwa na uzuniHii simulizi inamaliziwa hapa hapa ila niliacha kuileta kwa sababu ambayo nitaieleza tukifika mwisho.
Enjoy
Tukutane baadaeWaoooooow asaante sana ubarikiwe maaana nilikuwa na uzuni