SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Cha asubui tayari
 
ila huyu mke wa star wenu ana miaka 24, ila bado ana akili za kitoto toto sana eti! "ndio mimi shemeji polisi".
 
ila huyu mke wa star wenu ana miaka 24, ila bado ana akili za kitoto toto sana eti! "ndio mimi shemeji polisi".
muache ni mtoto ya geti kali, mtaani ndo anaanza kujichanganya saizi, halafu ashaamini Higgy wake anaweza kumpiga kila mtu hahaha
 
Mbona tayari wamewabamba, wamewabamba, yaani tokea talib aungane na huyo jamaa mwenye mbinu za kizamani, nikajua apa kufeli hakupo mbali.
Twalib amekosea sana bora angepambana mwenyewe na malengo yake, sasa wamewabamba hata kabla hawajaenda mission
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…