mbuzi wa mshenga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 209
- 337
Tulia nitawaletea simulizi ya MKESHA WA MWENGE 🤣tushushie na sisi tuendelee kuburudika wakat na wewe unaenda kuburudika
mlinzi anataka kujiona yeye ndio mwamba, asije akafanya wakaondoka maana hawapendi dharau hatakama ni masikiniMlinzi kashajisahau na yeye anajiona ana sauti katika nyumba ya watu wakati kadhaelezwa kuna wageni wa mabosi zake na wakija atoe taarifa ye kaanza kwa kukoloma kwel kila mtu anataka kuonesha umuhimu wa nafasi yake
Tumalizie hii kwanza, hiyo mkesha wa mwenge ifuate, fanya namna tuburudikeTulia nitawaletea simulizi ya MKESHA WA MWENGE 🤣
tusubiri lunch, Abou Shaymaa ameenda kwenye mwenge kupata uhuru na amaniLeo hamna Cha asubuhi
Mkuu fanya kushusha mzigo,ukiona hadi mgoroko anasoma stori ujue wewe ni mtunzi makini sana.Tulia nitawaletea simulizi ya MKESHA WA MWENGE 🤣
Mi nikisikia mwenge naogopa, sijui kwanini
Kwanini?Mi nikisikia mwenge naogopa, sijui kwanini
Namiyonga hapo kwa demu wangu Regina karibu na kanisani hapoSijui ila leo mwenge upo kwetu
aaagrrrr nikajua inaendelea, si yako majukwaa ya matangazo ya biashara huko mbona kutuharibia uzi?Kribuni kwa KEMIKALI(CHEMICALS)MBALIMBALI ZA
Viwandani,maabara,Migodini na Malighafi
Sisi ni wauzaji wa
Caustic soda
Sulphuric acid
HCL
Nitric acid
Activated carbon
Led nitrate
Na nyinginezo
Wasiliana nasi kwa simu
0754763364
Tupo,
Makumbusho Dar es salaam
si ungeenda kuanzisha uzi wako, why uje kutusumbuaKribuni kwa KEMIKALI(CHEMICALS)MBALIMBALI ZA
Viwandani,maabara,Migodini na Malighafi
Sisi ni wauzaji wa
Caustic soda
Sulphuric acid
HCL
Nitric acid
Activated carbon
Led nitrate
Na nyinginezo
Wasiliana nasi kwa simu
0754763364
Tupo,
Makumbusho Dar es salaam
Nilikosea ,nilikuwa kwenye thread ya matangazi kule ,so ika jipaste bahati mbayasi ungeenda kuanzisha uzi wako, why uje kutusumbua
Sijui tu naonaga kama uchawi🤣Kwanini?
Mwenge ukikesha ndo hatari zaidi kuna ufuska wa kiwango cha lami unafanyika
Utakuwa muoga sanaSijui tu naonaga kama uchawi🤣
Mlipe mwenye uzi awekuweke tangazo basiKribuni kwa KEMIKALI(CHEMICALS)MBALIMBALI ZA
Viwandani,maabara,Migodini na Malighafi
Sisi ni wauzaji wa
Caustic soda
Sulphuric acid
HCL
Nitric acid
Activated carbon
Led nitrate
Na nyinginezo
Wasiliana nasi kwa simu
0754763364
Tupo,
Makumbusho Dar es salaam