SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Hatuchezi😂
 
Sina ndio mtu pekee atayekuja kusababisha Idd kuja kuumbuka mana atakuja kuyamwaga maovu yote mbele ya wazee wa msikiti,ni bora idd aachane na kusumbua mahamudu juu ya swala la ndoa
 
mambo yanazidi kunoga, ukweli wa Idd utawekwa hadharani na dada kibogoyo, Higgno amekubalika kwa kwa mzee mahmud siku ikijulikana ni yeye anapewa mtoto hapo hapo
 
Hiyo tayari mkuu, wewe ndio unasoma leo? story ya mwaka juzi
 
Tuendelee boss yushatoka ibadani
 
Kumbe...!
Basi kuna haja ya kutafuta stori nyingine ili kukata kiu wakati tunamsubiri Iddi afanye jambo lake:
stori za kijasusi ziko nyingi, zingine waletaji hawajamaliza mpaka kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…