SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Tena tunahasira na wewe maana umetuchomea duka la baba yetu,, ngoja uingie kwenye 18 ule makonde
Sasa iv nikigundua km soraya analala kule shamban nakuja kuchoma icho kijumba na shamba zima🤣🤣
 
😅😅😅tuko pamoja mkuu,mm nataka ule mzizi wake anao utafuna kabla yakuanza shoo
Niliwahi panda Train na Mkongo mmoja mwaka 2006 ,Kigoma-DSM.

Alinipa kijiti flani tukiwa watu watano,aisee kile kidude kilikuwa kichungu sijawahi ona ila kina balaa nzito mno mno.

Yule Bwana nilipoteza namba..ushamba wa ku save google contacts.
 
😅😅😅pole sana,wakongo ni hatarii kwenye mambo hayo
 
Abuushaymaatz uje mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…