SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA SITINI NA MOJA
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA SITINI : kidogo na kumfanya awe ameshikilia sehemu hiyo kwa kuikusanya kuficha maziwa yake ambayo hayakuwa ndani ya sidiria kwa muda huo, ambayo yaliweza kuonekana vyema yakitengeneza umbo juu ya kijigauni chake chepesi, hakika hata Soraya mwenyewe alikuwa katika wakati mgumu, hakuzoea kukaa vile mbele ya mwanaume, ila ilimlazimu kwaajili ya kufuata maelekezo ya mwalimu wake. Higgno alimtazama Soraya akikifuata kigoda na kukiinua na kukisogeza karibu kabisa na alipokaa yeye, kisha akakikalia huku anacheka cheka kwa aibu…. ENDELEA……….
Huku Higgno kwa macho ya kuibia akiyatazama mapaja mazuri ya Soraya ambayo yalizidi kuonekana wazi, mara bada ya mschana huyu mrembo kukaa kwenye Kigoda na kusabisha kile kijigauni kupanda juu kidogo, Higgno hakujuwa kuwa Soraya pia alikuwa anamfuatilia kama alikuwa anamtazama, ukweli Higgno alianza kujihisi hali tofauti sehemu zake za siri, maana hata dudu ilianza kusimama na kumfanya abane miguu kuizuia isionekane jinsi livyo tuna, β€œHiggno nime sahau keki, kailete nikukatie uile” alisema Soraya huku akicheka cheka, β€œumenikumbusha, nime kuandalia mihogo ya kuchemsha na supu ya samaki” alisema Higgno huku akimtazama Soraya usoni, β€œhooo! napenda mihogo na samaki” alisema Soraya kwa sauti yake tamu lakini iliyochangamka, na hapo bila kujiuliza Higgno aliinuka mara moja kwaajili ya kuelekea ndani ambako kulikuwa na mwanga wa kutosha leo, Soraya aliweza kuona vyema jinsi sehemu za siri za Higgno zilivyo simama na kuinua bukta aliyoivaa, Soraya akatazama pembeni huku akicheka kwa aibu, na hapo ndipo Higgno alipotazama sehemu zake za mbele ya bukta na kuona jinsi palivyotuna, haraka sana Higgno akageukia upande wa mlango wa banda na kuelekea ndani akimuacha Soraya anaendelea kucheka cheka.
Higgno alipofika ndani akajitazama sehemu ya mbele ya bukta yake akaiona jinsi ilivyo tuna, β€œkhaa! si aibu hii” alijiwazia Higgno huku akitazama kama anaweza kuiona boxer yake aliyoivua wakati anaenda kuoga, lakini akakumbuka kuwa baba yake mdogo Alex, alimueleza kuwa anatakiwa kubakia na nguo moja tu, kama ni boxer au bukta, japo baba mdogo alimaanisha kuwa avae hivyo akiwa chumbani tena kitandani na sio nje kama walivyo sasa, japo Higgno alijiongeza kwa kuona akibakia na boxer atashangaza ulimwengu, ndio maana alijiongeza na kubakia na bukta ambayo sasa aliiona kero, β€œHiggno fungua kwenye mkoba wangu kuna box la simu njoo nalo” alisikika Soraya toka nje, na hapo Higgno akaachana na mambo ya boxer na kuisogelea meza ambayo iliyokuwa na mkoba na box la keki, cha kwanza akafungua begi la Soraya alicho kutana nacho kilimfanya atumbue macho, sio fedha nyingi alizo zikuta ndani ya begi hilo au box jipya la simu ambalo lilikuwa chini ya nguo fulani ndogo, ndiyo ambayo ilimtumbulisha macho na ilikuwa ni lazima aitoe nguo hiyo ya ndani ndipo atoe box, ilikuwa ni chupi nyeupe aina ya bikini, ambayo aliitoa na kuitazama vizuri, β€œau basi hiyo simu iache” alisikika sauti ya Soraya, β€œsawa” alijibu Higgno huku anairudisha kwenye begi, lakini tayari mambo yalisha haribika maana kuiona tu ile nguo, dudu ilishainuka tena kwa fujo kuliko hata mwanzo na alishindwa kuizuwia hata alipotoka na box la keki, huku mkono mwingine ameshika ndoo ikawa fahari ya macho kwa Soraya, ambae aliitazama hali ya Higgno kwa macho ya kuibia, huku akijichekesha, Higgno akuzubaa pale nje aliweka haraka ndoo chini akiigeuza na kuweka ile keki juu yake kisha akarudi ndani haraka kuchukuwa supu ya samaki na mihogo.********
Mama Hilda na mwanae Hilda wakiwa chumbani kwa Hilda waliendelea kuongea bila kujuwa kama mzee Komba alikuwa anawasikia, β€œkwahiyo na wewe alikupa ile dawa tamu tamu halafu ukaanza kupata hamu ya kufanywa?” aliuliza mama Hilda ambae alikuwa amelewa ulanzi, β€œndiyo alinipa kumbe hata wewe alikupa ile dawa?” aliuliza Hilda kwa sauti ya mshangao, β€œsasa je alinipa hiyo hiyo, nikajikuta napeleka mimi mwenyewe, akanifanya weeeee, tani yake, mwenzie bado najisikia nyege tu! akanifanya weee, mpaka kukawaka moto, halafu cha ajabu bado nikaendelea kujisikia nyege, cha kushangaza hachoki kusimamisha” alisema mama Hilda kwa kujiachia kabisa akijuwa wapo wawili, β€œhata mimi alinifanya hivyo hivyo, nilipoona naumia, nikamwambia ahamie huku, nako akanifanya mpaka kukaanza kuumia” alisema Hilda akionyesha kwenye makalio, na wakati huo huo wakasikia β€œyaani mama Hilda kumbe kule kwa Mabudi mnaenda kufanya umalaya, baada ya…ya….” ili kuwa ni sauti ya mzee Komba, ambayo mwishoni ilikwama kwama na walipo geuka kumtazama japo hawakuweza kumuona vizuri lakini waliweza kuona anajishika kifuani na kuanza kuyumba yumba kabla hajaanguka kwa nguvu, hapo mama Hilda na Hilda wakajuwa kuwa ni tayari tatizo limesha wakuta, mama Hilda na Hilda, waka piga kelele kwa nguvu, β€œjamani baba” alipiga kelele hiyo Hilda, β€œmamaaaaa yoyoooo!!, jamani mume wanguuuu” ulikuwa ni ukelele wa mama Hilda, ambae alikuwa anasogea pale alipoanguka mume wake, Hilda akishindwa kujiinuwa toka kitandani kutokana na kile alicho kiskia kitumbuani mwake.
Sauti ile iliwafikia wakina Ngonyani waliokuwa wanaendelea kunywa pombe nje ya nyumba ya mzee Komba, nao wakakimbilia ndani kutazama nini kilichotokea ndani ya nyumba ile, ambako walimkuta mzee Komba bado yupo chini hajitambui, yaani amepoteza fahamu, hivyo walimbeba na kumtoa nje halafu na kumlaza chini kweneye uwanja wa mbele ya nyumba yake, kisha waakazana kufanya jitihada za kumzindua, lakini licha ya kuhangaika kwa dakika kumi nzima hawakufanikisha, hivyo wakapata wazo la kwenda kweye dispensal ya shule ya sekondary ya wavulana ya songea.
Naam katika hali ya ulevi waliyo kuwa nayo na pasipo kujuwa kilicho mkuta mwenzao, wakina mzee Ngongi walimbeba mwenzao mzega mzega mpaka Songea Boys Dispensal, ambako walipokelewa na muuguzi mmoja tu wakike aliekuwa zamu usiku ule, ni mmoja kati ya wawili pekee waliokuwepo hapa Luhila, wakisaidiana na doctor mmoja wa kiume.
Nurse yule wakike alipokea mgonjwa na kuanza kumpa huduma ya kwanza lakini licha ya kugundua kuwa mzee Komba alikuwa mzima kwa maana mapigo yake ya moyo yana piga kwa mbali lakini hakuweza kumrejeshea fahamu zake, β€œjamani hapa hakuna namna inabidi mgonjwa apelekwe hospital ya mkoa” alishauri yule Nurse, sasa hapo swala likaja kwamba, ni usafiri gani utawafikisha mjini ambako ni kilomita zaidi ya tisa, Dispensal haikuwa na gari, β€œkwa kuwasaidia, naweza kuombea gari la shule, lakini lazima watasema mlipie mafuta” alisema yule muuguzi wakike, β€œsawa haina shida waambie walete gari” alisema Ngongi kwa sauti ya kilevi, β€œsawa andaeni fedha ya mafuta, mimi nawapigia simu” alisema yule yule Nurse huku anaingia ndani na kuchukuwa simu yake, kisha akapiga kwa uongozi wa shule kuomba gari.
Nurse alikubaliwa na akaambiwa kuwa dereva anajulishwa na atakuja muda mfupi ujao, na yeye akatoka nje kwenda kuwajulisha wale watu wenye mgonjwa, lakini huwezi amini, mara baada ya nurse kufika nje alimkuta mke wa mzee Komba peke yake, β€œwale wazee wengine wapo wapi maana dereva anakuja sasa hivi?” aliuliza nurse, β€œwameondoka” alijibu mama Hilda, kwa sauti iliyojaa unyonge, hapo nurse akabaini jambo, β€œkwahiyo wamekimbia?” aliuliza nurse kwa mshangao, β€œndiyo wameondoka hata bila kuaga” alisema mama Hilda kwa sauti ile ile ya kinyonge, β€œsasa tutafanyaje mama au unayo hiyo fedha ya mafuta, maana bila elfu tano mgomnjwa tutampoteza hapa hapa” alisema Nurse kwa msisitizo, β€œhooo jamani mimi yoyoooo, mume wangu ndiyo anakufa huku namuona” alisema maam Hilda huku akianza kuangua kilio, β€œkulia haisaidii mama yangu, hebu tufikirie mtu ambae anaweza kutuazima hiyo fedha” alisema yule Nurse, na hapo mama Hilda akaacha kulia nakuanza kushirikiana na yule nurse kutafuta mtu ambae anaweza kuwaazima fedha ya kununulia mafuta ya gari ili wamuwaishe mzee Komba hospital.
Lakini kila waliempata alisema kuwa hakuwa na fedha, kila walikoenda ilikuwa hivyo hivyo, walizunguka kwa marafiki karibia wote wa mzee Komba, lakini hakuna hata mmoja aliekubali kutoa fedha hiyo kumsaidia mzee Komba ambae bado alikuwa amepoteza fahamu, hata mwisho yule Nurese akamkumbuka mzee Frank, mtu ambae anafahamiana nae, ambae hata yeye mara kwa mara huwa anakopa kwenye duka lake pale inapotokea ameishiwa kitu kama sukari au mchele na terehe za mshahara bado, β€œnadhani nimjaribu mzee Frank, japo ameunguliwa na duka lakini kama anayo anaweza kutusaidia” alisema Nurse huku anaanza kubofya simu yake kutafuta namba ya mzee Frank, ambae aliona pengine mzee huyo ndie pekee anaweza kutoa msaada huo wa kuwaazima fedha za kumpeleka mzee Komba Hospital, β€œmh! mzee Frank sidhani kama anaweza kutusaidia” alisema mama Hilda kwa sauti ya mashaka huku anatazama pembeni na kubetua midomo, β€œndiyo nadhani anaweza kutusaidia” alisisitiza Nurse yule wakike huku anaendelea kutafuta namba ya simu ya mzee Frank, β€œsawa mjaribu, lakini sijui” alisema mama Hilda akiwa na uhakika kuwa atakataliwa kutokana na mambo wanayomfanyia, na pengine hata lililotokea kwa mzee Komba chanzo yeye, maana wasingejipeleka kwa mabudi bila kuwaza kumloga mzee huyu, β€œwala usiwe na hofu, mzee Frank na mfahamu vizuri hawezi kukunyima fedha katika jambo kama hili” alisema yule Nurse huku anabofya simu yake kumpigia mzee Frank.******
Licha ya kubaini njama za Mahadhi na kijana wake Idd, lakini bwana Mahamud bado aliona kuna ugumu fulani katika swala hilo, maana tayari kashfa ilisha sambaa kiasi cha kuitwa kwenye baraza la wazee, β€œsijui wataniambia nini na watanielewa kweli nikiwaeleza kuwa sifanyi jambo hilo?” aliwaza Mahamud, na kuanza kutafakari na nmna ya kujieleza mbele ya baraza la wazee, β€œsijui ni lini Soraya atapata mchumba na kuolewa?” aliendelea kuwaza Mahamud, huku akiona wazi kuwa Soraya alikuwa sahihi kuchagua mwanaume wakumuoa, maana dalili mbaya baada ya kuona jinsi Mahadhi na na kijana wake Idd wanavyo hangaika na kuitafuta nafasi ya kumchumbia Soraya, huku mzee Mahamud akibaini kuwa kijana huyu ana rekodi mbaya sana, katika maisha yake hasa miaka mitano au sita iliyopita akiwa huko msumbiji na afrika ya kusini, β€œmwizi mkabaji, muuzaji wa dawa ya kulevya, mlevi mzizi mbakaji, anataka kumuoa mwanangu” aliwaza Mahamud na kukumbuka kuhusu kijana mpole, β€œsijui ni mtu wa aina gani ambae anatenda wema na kuendelea kujificha au ni muhalifu?” aliwaza Mahamud, β€œkama ni muhalifu anawezaje kuwa na moyo wa kusaidia mtu pasipo kuhitaji chochote” aliwaaza Mahamud, ambae alienda mbali zaidi kwa kuwaza kuwa endapo ange fahamu kijana yule anapatikana wapi basi ingekuwa rahisi kwake kumpata na kumfahamu kiundani, maana niwazi kabisa kuwa kijana huyo alikuwa ndio chaguo la binti yake, β€œna yeye anampenda mtu asiekutana nae, itakuwaje akiwa ameshaoa?, ninge mpata yule kijana alienisaidia mimi nae ingekuwa safi kama angeishi na Soraya, sasa sijui ni kwanini aliondoka mapema pale ofisini wakati nilimuahidi kumpatia kazi” hilo swali alishindwa kulipatia jibu, maana ni vigumu kwa kijana anaehitaji kazi, tena akiwa ameahidiwa kuondoka eneo husika mapema kiasi kile.
Mahamud aliwaza kwa uda mrefu, mwisho akaamua liwalo na liwe, β€œnitaenda kuwasikiliza wanachoongea na mimi nita wajibu kutokana na wanachouliza au kuongea” aliwaza Mahamud kabla ya kupitiwa na usingizi.******
Mzee Frank na mke wake mida hii walikuwa kitandani, usingizi ukiwa umegoma kuja kutokana na furaha waliyokuwa nayo, baada ya kupewa fedha na kuanza ujenzi wa duka jipya, huku wakiahidiwa kupewa fedha za kufungua duka jingine, β€œunajuwa baba Higgy, kuna wakati nashindwa hata kuelewa, huyu binti anafanya haya kwaaajili gani, isije kuwa baadae anatupa mashariti ya kutoa kafara” alisema mama Higgno kwa sauti ya mashaka, β€œmama Higgy bwana, we uliwahi kuona wapi mambo kama hayo, mwenzio anamsaidia mshenga wake” mzee Frank, na wote wakamalizia kwa kicheko na wakati huo huo akasikia simu yake inaita, akachukuwa toka mezani na kuitazama ilikuwa namba ya Nusre, β€œmh! huyu mama doctor anasemaje usiku huu?” aliuliza mzee Frank kwa sauti ya mashaka, huku anapokea simu, β€œhallow habari za saa hizi” aliongea Frank, ambae kichwani mwake alikuwa na uhakika kuwa Nurse amekosea namba, β€œkwa kweli sio salama bwana mzee Frank, tuna tatizo hapa na tunahitaji msaada wako” alisema Nurse, na huku mama Higgno anasogeza sikio karibu na simu aliyoishika mume wake, β€œkuna shida gani tena doctor?” aliuliza mzee Frank, ambae alikuwa anamwitaga huyo mama kuwa ni Doctor, β€œtuna hitaji utuazime elfu tano ya mafuta, kuna jirani yako hapa mzee Komba amepoteza fahamu tunahitaji kumkimbiza hospital ya mkoa” alisema Nurse, β€œhooo! Hakuna shida nipitieni hapa nyumbani” alisema Mzee Frank huku anakata simu na kuinuka toka kitandani, β€œkumbe wanaujua msaada wako, sasa mbona wanatufanyia mambo ya kipuuzi” alisema mama Higgno na yeye akiinuka na kujifunga kanga, β€œna sio kwamba nitakuwa nao karibu, yaani likipita hili najiweka mbali nao” alisema Frank ambae alikuwa amesimama anapekuwa suruali yake na kutoa bunda la noti za elfu moja moja, akizipanga katika mafungu mawili ya elfu tano tano, zilizobakia akazirudisha sehemu yake, na zile nyingine akaziweka mezani, β€œmh! hauna haja ya kukaa nao mbali, nadhani mpaka hapo watakuwa wamesha jifunza, tena usiwakopeshe hiyo elfu tano wape bure bure” alisema mama Higgno, β€œmh! nani alisema kuwa kichaa kinapona, labda ya kulogwa, zaidi ya hapo kichaa huwa kinatulia kwa muda tu!, japo fedha nitawapa bure lakini sitowaamini hata kidogo, kwa walichomfanyia Higgno sina imani nao” alisema mzee Frank, huku anavaa suruali na shati, na kabla hajafanya jingine lolote wote wawili wakasikia ngurumo ya gari likija nyumbani kwao.********
Higgno alitoa vitu vyote alivyo kusudia pamoja na ndoo nyingine, ambayo ilikusudiwa kutumika kama meza huku Higgno kila alipoingia na kutoka nje alijitahidi kwa macho ya wizi kuendelea kuyatazama mapaja ya Soraya yaliyo kuwa wazi kiasi fulani na kumsababishia kupata msisimko ambao ulichemsha damu yake na kwenda kujaa kwenye dudu ambayo ilisimama na kuinua bukta yake pasipo kujuwa kuwa Soraya nae alikuwa anatazama sehemu za mbele ya buka ya mpenzi wake huyu ili kubaini maendeleao ya hali ya dudu ya mpenzi wake huyu, ambayo alikuwa anaifanyia makusudi kwa ushauri wa mwalimu wake pasipo kujuwa kitakachofuata.
Soraya aliweza kuiona bukta jinsi ilivyotuna na kutengeneza sura ya mzee baba alievaa kofia ndani ya bukta hiyo, na hata Higgno alipokaa kwa maana ya kumaliza nenda rudi, Soraya ni kama hakuridhika, akatazama vile vilivyopo akaona kuna mihogo yake ya kuchemsha ndani ya mchuzi mweupe wa samaki, yaani supu, huku pembeni samaki akiwa amelala, tayari kuliwa, pia kulikuwa na lile box la keki na machungwa, akamtazama Higgno huku anajichekesha chekesha, β€œHiggno mbona umesahau kisu cha kukatia keki na kumenyea machungwa” alisema Soraya ambae muda wote kicheko hakikukauka mdomoni mwake, β€œhooo! kweli sijui nimetingwa na nini” alisema Higgno huku anainuka na kuelekea ndani, huku akikemea pepo la kutazama mapaja ya Soraya, ambae mpaka sasa hakuwa anajuwa kama ni binti ya tajiri Mahamud.
Soraya nae mara tu! baada ya Higgno kuingia ndani akaachia pale kifuani alipopashikilia na kuchukuwa kikombe cha maji, akanawa kwaajili ya kula supu ya samaki na mihogo, β€œmh! nanii yake inaonekana kabisa ilivyosimama” sasa sijui anawezaje kusimamisha halafu asiwe mwanaume kamili” aliwaza Soraya bila kujuwa kuwa hapo ndipo anakosea yeye kutofautisha na kubaini ukweli, alipomaliza kunawa akaliweka vizuri gauni lake pale kifuani, ni kama alikuwa analifunuwa zaidi na kusababisha sehemu za maziwa yake kuonekana wazi wazi, kisha akanawa tena na kuchukuwa kipande cha mhogo akakipeleka mdomoni huku macho akiyatega mlangoni kusubiri Higgno atoke na yeye aone kile ambacho alipenda kukitazama kila mara, japo pia alipenda sana kutazama eneo la kifua cha kijana huyu mpole.
Naam Higgno alitoka nje akiwa mikono mitupu, β€œkumbe kisu kipo huku huku nje” alisema Higgno, akipitiliza mpaka kwenye kichanja (kimeza kilicho tengenezwa kwa miti na fito nyembamba za mianzi) akachukuwa kisu na kurudi nacho pale alipo kuwa amekaa mwanzo, muda wote Soraya alikuwa ana tazama kile alicho hitaji kukitazama kwa kijana huyu, na Higgno baada ya kukaa ndipo macho yake kwa bahati mbaya yaka tazama kifua cha Soraya, akajikuta mwenyewe anakwepesha macho kwa aibu na hofu ya kuonekana kuwa ni mchunguliaji, japo alishachelewa maana macho hayana adabu, tayari yalishapeleka taaarifa kwenye ubongo kuwa ameona maziwa mazuri ya Soraya, na ubongo ukapeleka taarifa kwa dudu, ambayo kama vile ilitaka kujitoa buktani ili kwenda kuyaona, maana ilizidi kujitutumua, β€œkata uile, mwenzako na kula ulichonipikia kitamu” alisema Soraya akimueleza Higgno.*******
Ukweli usio pingika mama Hilda yaani mke wa mzee Komba, hakuamini macho na masikio yake kwa kile kilichotokea, baada ya kuambiwa na yule Nurse kuwa mzee Frank alikubali kumsaidia, alianza kuamini baada ya kuona gari la shule likija pale dispensal na wanafunzi wanne, ambao walisaidia kumpakiza mume wake ndani ya gari, pamoja na yeye na yule Nurse, kisha wakaondoka kuelekea nyumbani kwa mzee Frank, moyoni mwake mama Hilda alijiwazia β€œhuyu nae amejisikia nini kutukopesha vihela vyake?” ilionyesha wazi bado mama Hilda alikuwa na kila dalili ya chuki na mzee Frank, β€œwatajuana na Komba mwenyewe akizinduka” aliwaza mama Hilda ambae hata mimi bado sijamuelewa kwanini alikuwa anawaza vile.
Muda mfupi sana waliutumia toka dispensal mpaka nyumbani kwa mzee Frank ambae alitoka nje mara moja baada tu ya gari kusimama akiwa amevaa suruali na shati chini akiwa na kanda mbili, β€œpole na hongera boss wangu, naona unatuwekea duka jingine” alisema Nurse ambae alionekana wazi kuwa hakuwa ameona ujenzi mpya, β€œndugu yangu, weee nimeona niwasogezee huduma maana mlishazoea sasa ingeleta shida kidogo” alisema mzee Frank, ambae alisha sogea na kuwa karibu na nurse alieshuka toka kwenye gari, β€œni kweli kabisa , yaani nilipozipata taarifa hizi asubuhi nikaanza kuwaza itakuwaje si unajua mambo yetu yale” alisema yule Nurse akimaanisha kuwa alihofia kukossa sehemu ya kukopa, muda wote mama Hilda aliekuwa ndani ya gari pamoja na derva na mume wake ambae ni mgonjwa alikuwa amekunja sura kwa chuki na hasira, β€œmungu anasaidia kesho naweza kwenda kufanya manunuzi ya vifaa vya duka, na kama mafundi wakikamilisha tu basi kesho kutwa na fungua chumba kimoja wakati kingine kina fanyiwa ukarabati, nikikamisha kingine nahamishia vitu halafu namalizia kilicho bakia” alisema Frank, wakati huo mke wake akiwa amesimama mlangoni anawatazama, Mzee Frank alitoa fedha shilingi Elfu tano na kumpatia nurse, β€œbasi nisiwacheleweshe muwahi kumpeleka mgonjwa hospital….” alisema mzee komba ambae alitoa tena elfu tano nyingine na kusogea upande wa nyuma wa gari, β€œhaaaa! ina maana mupo wenyewe tu” alishangaa mzee Frank baada ya kuona kule nyuma yupo mama Hilda na mzee Komba mwenyewe alielazwa juu ya godoro kwenye sakafu ya gari, maana licha ya kwamba wale vijana kusaidia kumpakiza mgonjwa kwenye gari walirudi shuleni, ila kwa mzee Frank yeye alitegemea wakina Ngonyani na wenzake wange kuwepo pamoja na mke wa Komba, β€œndugu yangu wee, marafiki mkia wa fisi, yaani walivyo mkiambia kimbia hata mimi sijaelewa kwa kweli” alisema yule nurse huku anapanda kwenye gari, β€œshemeji hii hapa itasaidia kwenye mambo madogo madogo ya hospital” alisema mzee Frank, huku anamkabidhi mama Hilda elfu tano mkononi, β€œjamani baba Higgy tutaweza kulipa kweli” alisema mama Hilda akionyesha kuogopa endapo watashindwa kulipa tsh elfu kumi, ambayo ameitoa mzee Frank, β€œhapana shemeji sija wakopesha nimetoa kama jirani na mwanakijiji mwenzenu, tena wacha niwasindikize maana sio vyema kama utaenda peke yako” alisema mzee Frank na kumuaga mke wake kisha kupanda kwenye gari na gari likaondoka kuelekea upande wa mjini.
Labda ungedhani kuwa mama Hilda angebadili mtazamo wake kwa baba Higno, baada ya kuyafanya yale yote, kama ulidhani hivyo ulikuwa umekosea, maana mama Hilda japo alionyesha tabasamu usoni mwake lakini moyoni mwake alikuwa anawaza usiyo yategrmea, β€œbasi hapo anataka aonekane tu! Hela zenyewe za uchawi!” ndivyo alivyo waza mama huyu, ambae hakuwaza kile alichofanya na babu mabudi akishiriki na mwanae Hilda, kilichosababisha mpaka mume wake kupoteza fahamu kwa muda mrefu.
Nusu saa ndio muda ambao walitumia kufika Hospital na mzee Frank ndie aliesaidiana na nurse kuhakikisha mzee Frank anapata huduma ikiwa na kupewa kitanda cha kulazwa, kisha wakamuacha mama Hilda ambae alikuwa ananuka pombe kama ilivyo kwa mgonjwa, ambae madoctor walikuwa wanaangaika kumtundikia drip za kuondoa kilevi ili waweze kumpatia matibabu.********
Naam saa tano na nusu, ndio mida ambayo Higgno na Soraya walipanda kitandani kama jana, ni baada ya kuwa wamesha maliza kula na kukaa sana pale nje wakiongea na kucheka kwa pamoja, huku maongezi yao yakiwa yameegemea upande wa matukio yale matatu ambayo Higgno alimsaidia Soraya, β€œyaani napenda unavyojuwa kupigana” alisema Soraya, wakiwa amelala pembeni ya Higgno upande wa ukutani akigeukia upande aliokuwa Higgno alielalachali, Higgno alicheka kidogo, β€œnitakufundisha” alisema Higgno, ambae daima huongea taratibu na kwa upole, β€œhalafu nime kumbuka” alisema Soraya huku anainuka na kuitazama meza, kisha akapandisha mguu mmoja juu ya kiuno cha Higgno na kufanya kigauni chake kupanda juu zaidi, hivyo mapaja yao kugusana, mwanzo Higgno alijuwa soraya anavuka kwenda kwenye meza, lakini, akashangaa kumuona ananyoosha mkono na kuchukuwa mkoba wake juu ya meza na kukaa vizuri kabisa juu ya Higgno kama amekaa juu ya kibao cha mbuzi au boda boda, β€œkama nakuumiza sema” alisema Soraya, huku mapaja yao bado yamegusana yaani nyama kwa nyama na kufanya wabadilishane Joto, ambalo lilimfanya Soraya aanze kuhisi msisimko kama alioupata Higgno, ambae alienda mbali zaidi na kujikuta akizidi kusimamisha dudu ambayo ilifikia hatua ya kugusa kitumbua cha mschana huyu mzuri na mrembo, ambae alihisi kitu kigumu kimegusa kitumbua chake, akaacha kufanya alichokuwa anafanya kwenye mkoba wake na kupeleka mkono wake uvunguni kwake na kujipapasa, hapo akagunduwa kuwa alikuwa amekalia dudu ya kijana huyu mpole, hapo akainuwa uso wake kumtazama Higgno kwa macho yaliyojaa kijiaibu, akamuona na yeye anamtazama na macho yao yalipo kutana Soraya akashindwa kuhimili aibu na kujikuta akiweka mkoba pembeni na kujilaza kifuani kwa Higgno kuficha uso wake kifuani kwa Higgno huku chuchu zake zikijikandamiza kwa Higgno, hapo Higgno akakumbuka alichoambiwa na baba mdogo, akapeleka mikono yake kwenye mbavu changa za mschana huyu na kuanza kutembeza taratibu kushuka chini mpaka kiunoni na kupandisha tena na kumfanya Soraya ahisi mtekenyo uliompa raha ya ajabu, ambayo ilianzia kwenye koo mpaka kwenye kitumbua ikipitia mgongoni na kujikuta akikandamiza kiuno chake chini na kufanya kitumbua chake ambacho kilikuwa ndani ya chupi kuikandamiza dudu ambayo sasa ni kama alikuwa ameikalia kwa juu yake ikiwa imetutumka na kutazama upande wa kitovuni na yeye kuwa kama amekalia kipande cha muhogo uliolala, kwa maana ya kwamba dudu ile ilikatiza kati kati ya kitumbua cha Soraya na kumzidishia msisimko, β€œona Higgno umeshatamani” alisema Soraya kwa sauti iliyojaa aibu akiwa bado amelala juu ya kifua cha Higgno, kama mpanda farasi mwenye mbwembwe…… ITAENDELEA....
 
TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA SITINI NA MBILI
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA SITINI NA MOJA: Soraya ahisi mtekenyo uliompa raha ya ajabu, ambayo ilianzia kwenye koo mpaka kwenye kitumbua, ikipitia mgongoni na kujikuta akikandamiza kiuno chake chini na kufanya kitumbua chake ambacho kilikuwa ndani ya chupi kuikandamiza dudu ambayo sasa ni kama alikuwa ameikalia kwa juu yake ikiwa imetutumka na kutazama upande wa kutovuni, na yeye kuwa kama amekalia kipande cha muhogo uliolala, kwa maana ya kwamba dudu ile ilikatiza kati kati ya kitumbua cha Soraya, na kumzidishia msisimko, β€œona Higgno umesha tamani” alisema Soraya kwa sauti iliyojaa aibu, akiwa bado amelala juu ya kifua cha Higgno kama mpanda farasi mwenye mbwembwe…… ENDELEA………..
Higgno alie kuwa anaendela kupitisha mikono, kwenye mbavu za Soraya mpaka kiunoni na kumfanya Soraya azidi kusikia ule mtekenyo mtamu, ambae hakuwahi kuuhisi au kuupata hapo kabla, Soraya akakosa utulivu na kuanza kuchezesha kiuno chake kwa mshtuko wa mtekenyo, β€œunanitekanya bwana Higgno” sauti ya soraya ilitoka nyororo nasambamba na pumzi nzito, huku akiwa amesha sahau kile alichotaka kufanya kwenye begi lake, β€œkwani hupendi uniache?” alisema Higgno huku akiacha kutembeza mikono yake, β€œnapenda, we endelea tu kunishika” alisema Soraya huku akicheka cheka kwa aibu na kushindwa kuinuwa uso wake aliouficha kifuani kwa Higgno, na kitumbua kimekalia dudu iliyolala kama gogo, Higgno akaendelea kupapasa na sasa alienda mbali zaidi, japo alikuwa anapapasa juu ya kijigauni hiki chepesi lakini aliweza lihisi joto tamu la mwalili mwororo wa Soraya na kufanya dudu yake iendelee kuvimba na kukakamaa kweli kweli ikiwa imekandamizwa na kitumbua cha Soraya kilichokuwepo ndani ya chupi, β€œkwani wewe hujisikii raha unavyo nishika shika?” aliuliza Soraya kwa sauti ya kivivu, Higgno akacheka taratibu kwa sauti nzito, huku akishusha viganja vya mikono yake mpaka kwenye makalio ya mschana huyu ambae bado alikuwa amekaa juu yake na kuendelea kuyapapasa taratibu, β€œnasikia” alijibu Higgno huku anacheka kwa sauti nzito na tulivu, mikono yake akiipandisha kiunoni na mpaka kwenye mbavu changa na kuona jinsi Soraya binti chotara anavyo shusha kiuno chini na kuya binua makalio yake akionekana wazi kutekenyeka, β€œhata mimi najisikia raha” alijibi Soraya huku anaisikia mikono ya Higgno ikishuka kiunoni, na hapo akainuwa kiuno chake juu na kufanya makalio yashuke chini nakuikandamiza tena dudu, ambayo safari hii ili lala kwenye kikunde vyema kabisa tofauti na mwanzo, na kwa mndamizo huo akahisi kidude hicho cha kipekee kwenye kitumbua chake kikitekenywa na kumletea msisimko fulani mtamu zaidi ya utamu wenyewe, na mbaya zaidi wakati huo huo Higgno alipofikisha mikono yake kwenye makalio ya Soraya akayabana na kumkandamizia, maana hata yeye alijiskia raha fulani, kisha akafanya kama anamvuta kuja juu, hapo kitumbua ndani ya chupi kika jiburuza kidogo juu ya muhogo usawa wa kikunde ambacho kilijisungua taratibu na kumfanya Soraya ajikute ana chezesha kiuno chake taratibu huku akisaidiwa na mikono ya Higgno.
Sasa ilikuwa kimya kimya, ni kama walikuwa wamesha kubaliana kufanya vile, walitumia kama dakika mbili wakiwa kimya, wakati Higgno anasikilia nusu utamu huku nusu nyingine akiwaza namna ya kupenyeza mkono kushika ziwa la Soraya, ikiwa ni moja ya sehemu ambayo alielekezwa na baba mdogo kuwa ni muhimu kuzishika shika, mwanamke maana humsisimuwa sana, β€œkumbe hata kwenye nguo tamu” alisema Soraya kwa sauti nyororo iliyotoka kwa chini kabisa, huku akiendelea kuchezesha kiuno chake kwa kuleta mbele na nyuma, na kukikwangua kitumbua chake kwenye dudu ya Higgno kama vile nazi juu ya kikunio cha mbuzi, Higgno hakujibu chochote zaidi alipenyeza mkono wake na kupeleka kwenye kifua cha Soraya ambacho alikuwa amekilaza kifuani kwake, ni kama Soraya alishajuwa, maana alijiinua kidogo ili kumpa nafasi Higgno ambayo aliweza kufikia maziwa mazuri magumu yaliyosimama ya Soraya na kuanza kuzichezea chuchu, kitendo ambacho kilileta matokea ambayo Soraya hakuyatarajia, maana alishtuliwa na msisimko wa ajabu kuliko hata ule wa kupapaswa kiuno, japo haukuzidi ule wa kukunwa kikunde.
Soraya alijikuta akianza kuhema punzi nzito, tena alitumia mdomo kupumulia, maana pua pekee zilishindwa, β€œmwenzio nasikia uroda unaponishika chuchu” alisema Soraya kwa sauti ya kutetemeka, nadhani kutokana na msisimko, iliyomezwa na pumzi nzito iliyofanya sauti isikike kama vile mtu aliemwangiwa maji ya baridi au alielambishwa ukwaju na kuzidi kujiinuwa huku akiendelea kuzungusha kiuno, hakika alipatia kumalizia pale pale haja zake zote.
Higgno alifanya hivyo kwa dakika nzima huku akifikiria hatua ya kulamba mate ya mschana huyu, hatua ambayo aliambiwa kuwa ikikubalika basi ujuwe kinachofuata ni kuanza kuchezea kitumbua na kuingiza dudu, Higgno alimtazama Soraya ambae alikuwa amefumba macho na uso ameulekeza chini pembeni lakini bado anaendelea kuchezesha kiuno chake taratibu, Higgno aliendelea kusikia mihemo ya pumzi toka kwa Soraya ambae licha ya kufumba macho na kukunja sura, akionekana kuwa kwenye utamu usio wa kawaida, pia alikuwa ameachama mdomo ambao alikuwa anatumia kupumulia, hapo Higgno akatumia mkono mmoja kukikamata kichwa cha Soraya eneo la kisogoni na kumsogeza kwake.
Soraya ambae sasa alikuwa anasikia utamu wa ajabu, ambao ulianzia shingoni kitumbuani na kuenda mpaka kisogoni ukizungukia kooni na kukausha ulimi na kumfanya Soraya ajihisi kiu ya ghafla, kiu ya kitu ambacho hata yeye hakukijuwa ni kinywaji gani, hata aliposhikwa kichwa na kusogezwa usoni kwa Higgno alijikuta amejilegeza na kufuata vile mkono wa Higgno ulivyo mpeleka na kujikuta akiishia usoni kwa Higgno na midomo yao imekutana, Higgno akiwa ameeelekezwa na Soraya aliewahi kushuhudia mara kadhaa kwenye filamu za kizungu, wakaanza kubadilishana mate taratibu, huku Soraya akiwa amesitisha kuzungusha kiuno,
Kitendo hicho kilidumu kwa sekunde sitini, kabla Soraya hajajitoa na kujikandamiza tena kwenye dudu ya Higgno iliyokuwa ndani ya bukta kama kitumbua chake kilivyo kuwa ndani ya chupi, lakini alipo jikandamiza akaona dudu ilisha sogea pembeni, hivyo akapeleka mkono ili kuiweka sawa aweze kufanya kama alivyofanya mwanzo.
Naam ile kupeleka mkono akajikuta amegusa maji maji mengi ya kuteleza juu ya chupi yake, ina maana yalitokea kwenye kitumbua chake, maji maji ambayo sio tu kuilowesha chupi yake, pia yalisababisha chupi ile kuwa imejishika na kusogeza pembeni ikiacha shavu moja la kitumbua likiwa nje, sijui Soraya aliwaza nini, β€œtujaribu bila nguo lakini usiingize” alisema Soraya kwa sauti ya tabu iliyotokea puani, huku anazamisha mkono kwenye bukta ya Higgno na kutoa dudu ambayo kiukweli ilikuwa imesimama barabara, na ile kuitoa tu buktani ilikunjuka kama vile imetoka kifungoni, Soraya kama vile aliedhamilia, aliweka vizuri kwa kuilaza tena kama ilivyo kuwa mwanzo kisha kukikarisha kitumbua chake ambacho shavu moja lilikuwa nje, kisha akaanza kuchezesha kiuno chake huku Higgno akirudia kuchezea chuchu za mschana huyu rembo zaidi ya urembo wenywe,
Soraya alifanya hivyo kama mara nne hivi, kisha akatulia na kujilaza kifuani kwa Higgno, β€œmbona unaniachia peke yangu” aliongea kwa sauti nyororo ya kulalamika iliyotokea puani huku anahema juu juu, β€œhapo Higgno akapeleka mkono kiunoni kwa Soraya na kukamata vizuri, kisha akaanza kuchezesha kiuno chake na Soraya nae akaendelea kufanya kama mwanzo, lakini safari hii ni kama dudu ilikuwa haigusi kikunde kama ilivyo kuwa mwanzo.
Mchezo haukudumu kwa muda mrefu sana, maana Higgno alimuona Soraya akisitisha mchezo ule, ni kama alipata wazo, akapeleka mkono uvunguni kwake na kuikamata chupi yake kisha akaisogeza pembeni, halafu kukiacha kitumbua wazi halafu akaiweka vizuri dudu, yaani akailaza kama mwanzo na kuikandamiza na kitumbua chake akiilaza katikati kwenye mpasuo, huku kichwa cha dudu ile kikiwa kimegusa kikunde, hapo wakaanza tena kamchezo kao, wakichezesha viuno vyao kwa kupishanisha, pale Higgno alipo peleka mbele Soraya alirudisha nyuma na kufanya kitumbua kilicholowa kiteleze juu ya dudu kama trein kwenye railway yake, na kufanya kichwa cha dudu ya Higgno kisugue kikunde chake kila kinapo pita sehemu hiyo, β€œkumbe bila nguo ni tamu sana” alisema Soraya, ambae alikuwa anachezesha kiuno taratibu kwa mtindo wa kukuna nazi sambamba na kale kasauti kaulalamishi kilichosababishwa na msisimko wa utamu, ambao β€œmmmh! mmmh! mmmh! asssh” ungesema anafyonza buwa la muwa, ilionyesha wazi kuwa utamu aliokuwa anaupata ulikuwa ni mkubwa kwake, β€œnasikia kunoga inajoto tamu… assssh! mmmmh! mmmh!” aliongea Soraya kwa sauti ile ile ya kiteteshi iliyotokea puani, β€œhata mimi… hata mimi nasikia utamu” alisema Higgno kwa sauti nzito iliyojawa msisimko, huku akiiskilizia dudu yake ilivyokuwa inasugua kikunde cha Soraya, ambae mpaka sasa alikuwa bado hajapata jibu la kitu alichoambiwa na Laylah, kwamba amchunguze kuwa ni wanaume ambae ana uwezo wa kulala na mwanamke na kumzalisha, japo mwenzie alimaanisha kuwa amchunguze kama jongoo anapanda mtungi, β€œtamu Higgno, mwenzio nasikia utamu…endelea kunifanya hivyo hivyo” alisema Soraya akiendelea kuchezesha kiuno chake, huku wakati mwingine dudu ikikwama na kunusurika kuingia ndani, Soraya alikuwa makini kuwahi kujiinua ili dudu isiingie ndani, β€œmwenzio naogopa nitaumia” alisema Soraya kila aliposurika kuingiziwa dudu, huku Higgno nae akiwa makini sana akichelea kumuumiza mpenzi wake.
Lakini baada ya kufanya vile kwa dakika zaidi ya nane, uvumilivu uliwashinda wawili hawa baada ya utamu kuwakolea Soraya ndie alietowa wazo la pili tena wakiwa katikati ya utamu, Soraya alisitisha ghafla kukata kiuno, β€œHiggno tuvue kabisa nguo ndio itanoga sana” alisema Soraya akijichekesha kichovu huku akijilaza juu ya Higgno, wazo ambalo kijana mpole alilikubali mara moja, β€œhaya!” hapo Higgno akakumbuka moja ya maelezo ya mjomba wake, kuwa yeye ndie anae takiwa kumvua nguo mwanamke wake, hivyo alilishika gauni la Soraya kwa chini na kulipandisha juu, akilitolea upande wa kichwani, na hapo kwa msaada wa mwanga wa taa, aliweza kuona mwili mzuri wenye ngozi mwororo, isiyo na kovu, mwenye kifua kizuri kilichobeba maziwa mazuri yaliyo tuna na kusimama vyema kabisa, lakini kabla haja yafaidi vizuri Soraya akayaziba kwa mkono wake mmoja, japo alifanikiwa kuziba sehemu ya chuchu tu na kuacha sehemu nyingine zikiwa wazi, na hata Higgno alipo peleka mkono wake kwenye chupi ya Soraya, Soraya mwenyewe akazuia, β€œnavua mwenyewe na wewe vua ya kwako, mbona unanivua mimi tu!” alisema Soraya huku anajiinua toka juu ya Higgno na kuhamia upande wake wa ukutani, kisha wote wawili wakaanza kuvua nguo moja iliyobakia miilini mwao, na mara Soraya alipo maliza tu aliziba sehemu ya kitumbua chake kwa mkono uliobakia na kubakia amelala chali, β€œsasa hivi njoo juu yangu” alisema Soraya kwa sauti iliyojawa na aibu na kijicheko cha chini chini, huku akigeuza uso wake na kutazama ukutani, Higgno akainuka na kujiweka kati kati ya mapaja ya Soraya, β€œusiingize chezea juu juu” alisema Soraya, huku anatanua miguu kidogo, β€œwala usiwe na wasi wasi, siwezi kukuumiza” alisema Higgno, huku anaushika mwiko wake na kuusogeza kwenye kitumbua cha Soraya, ambae licha ya kutanuwa miguu yake yaani mapaja, lakini bado aliuweka mkono wake juu ya kitumbua kama anakificha, na Higgno aliposogeza mwiko, kwenye kitumbua Soraya alisogeza mkono nyuma kidogo kuipisha dudu iweze kugusa kitumbua chake, huku anafumba macho na hapo akahisi kichwa cha dudu kinagusa mashavu ya kitumbua chake na kuanza kutaparuza taratibu, β€œangalia usiingize Higgno mwenzio naogopa” alisema Soraya kwa wasi wasi, β€œsikuumizi wala usiwe na wasi wasi” alisema Higgno huku anaendelea kutembeza dudu kwenye mpasuko wa kitumbua kuanzia mashavuni mpaka kundeni, na aliporudia mara kadhaa akamuona Soraya anaanza kuchezesha kiuno chake huku anaondoa mkono wake akiamishia mgongoni kwa Higgno na kushikilia.
Dakika chache baadae Soraya akaaanza kutoa zile sauti za kuugulia utamu, huku Higgno akiendelea kusugua mashavu na kikunde, eneo nyeti lilizidi kulowa chapa chapa kama chungu cha mlenda, Higgno akaona kuna kitu alibakiza, nacho ni kunyoya chuchu za Soraya, na hapo huku akiendelea kusugua kunde na mashavu ya kitumbua kwa mkono wa kulia, akasogeza mdomo wake kwenye ziwa la kushoto la Soraya na kuanza kulinyonya akichezea chuchu kwa ulimi nakumfanya Soraya awe kama amepandwa wazimu kwa utamu alioupata, maana Soraya alizidi kumshika Higgno kwa nguvu na kumvutia kwake, kama vile alihitaji kitu zaidi, β€œtamu…nasikia utamu… Higgno ingiza kidogo tusikie utamu” alishauri Soraya, haya mlale sasa waacheni mabikra wawili wamalizane halafu nije kuwasimulia nini kilijiri..... ITAENDELEA MUWE NA USIKU MWEMA
 

### "Wapenzi wafwatiliaji wa mtunzi wako"

Unajarib kusema nini ??
 
Mabikra wawili wamejuwa kunifurahisha japo hazijapelekewa moto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kwa raha niliyo nayo utazani mim hugno
 
Naona kazi inaendelea 😜
 
Vuzi kwa vuzi,πŸ˜€
 
Endelea Lamomy Soraya anaropoka na mama atajua kuwa mwanae ametinduliwa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…