Kilemachocho
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 560
- 365
Babu uko vizuri
Wagusika si hawapo sasaMbona upande wa shuleni hatuadithiwi tena.. naona vipande vya shuleni havipo kbsaaa
Witch ni mchawi mwanamke na Wizard ni mchawi mwanaume.Hv tofauti ya witch na wizard ni ipi?
Ha ha ha!Hii story inachukua miez sasa. Najuta ata kwa nini niliiona na kuiacha nashindwaaa....
Leta ukweli sasa. Vinginevyo wewe ni muongo zaidi.Namwakalima muongooo!!! Unatumia dictionary's ya mrisho mpoto au??