Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti atakuwa kabaki zake kijijiniYaani atakuwa kabaki zake kijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti atakuwa kabaki zake kijijiniYaani atakuwa kabaki zake kijijini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eenh bwana na mtoto wake Juliana atakuwa kamjengea bonge la jumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti atakuwa kabaki zake kijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu ya 129
Stori ya maisha yake ikawa gumzo Kigoma nzima, hapakuwa na watu waliokuwa wakiamini kwamba yule kijana aliyekuwa akiishi kwenye maisha ya kimasikini, John alikuwa tajiri kama alivyokuwa.
Wapo waliokuwa wakibisha ambao walichukuliwa na kupelekwa mtaani kwake ambapo huko watu waliwajibu kwamba ni kweli kile walichokuwa wakikisikia ndicho kilikuwa ukweli wenyewe.
Wengi walibadilika, waliokuwa na dharau dhidi ya watu masikini wakaanza kuwaheshimu watu hao kwani waliamini kama mzee Masako ilimtokea yale yaliyomtokea basi kulikuwa na uwezekano hata wa kuwatokea wao.
Maisha yake yaliwabadilisha watu wengi. Vijana wengi wakajifunza, mabosi wakabadilika, masikini wakaheshimiwa. Kuanzia mwaka 2017 ambapo John alianza kuishi mkoani Kigoma, mpaka leo hii historia ya maisha yake ilibaki kuwa vichwani mwa watu wengi.
MWISHO.
Asanteni kwa kuwa nami toka mwanzo mpaka mwisho wa story hii na kuvumiliana na arosto za apa na pale
Mwisho wa story hii ndio mwanzo wa story nyingine nyemo chilongani na shunie tunawapenda sana [emoji847][emoji847][emoji847]
Tuendelee kumuunga kijana mkono kwa kununua vitabu vyake no ya simu hii 0718 069269 piga mda wowote
Akikuletea usinisahau Cha uroho wa ndizi hapaEbu fanya kuniletea na ndizi
Hahaha kijana mchangamfu
Shukran Shunie.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] anytime dearShukran Shunie.
Naamini tunaotoa likes kimya kimya hua unatuona pia mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app