Simulizi: Milango ya mafanikio

asante sana jack kwa simulizi nzuri yenye mafunzo na burudani ndani yake,pia tunashukuru kwa muda wako ulioutumia kuandika simulizi hii
 
Ubarikiwe sana, hujatuambia mtoto wa Samson aliyezaa na rahma yuko wapi
 

Kongole sana kwako mhandisi. Na Ahsante kwa story nzuri yenye mafundisho mema kwa jamii. Nimejifunza mambo mengi sana. MUNGU akulinde
 
Naomba nitoe shukurani zangu🙏🙏
Pia niwapepole wale wote ambao hawaja fumbuwa hili fumbo. Mr. Jack hongera sana. Natamani nielezee jambo ila nimeona sio busara na huta furahia kwa namna fulani. Am your biggest fan 🙏
 
Naomba nitoe shukurani zangu

Pia niwapepole wale wote ambao hawaja fumbuwa hili fumbo. Mr. Jack hongera sana. Natamani nielezee jambo ila nimeona sio busara na huta furahia kwa namna fulani. Am your biggest fan
Wewe eleza tu kuwa huru mkuu
 
Jaman daaah
Imeniumiza Mzee Mgaya kufa daaah
Hongera kwa sam sikujua hata kama angetoboa
Hongera kwako Mkuu kwa kumaliza hii stor Jack Daniel
 
Asante sana ndg msimuliaji...nzuri na Ina mafunzo megi...imegusa karibu maisha yote....kuanzia malezi,ndoa,biashara,masomo nk
 
Asante J.D kwa simulizi yako,Jana sijalala nimekesha mpaka nagombana na mume wangu mwanga wa simu unamkera,Leo nimeamka nayo ndo nimeimaliza.
 
Asante J.D kwa simulizi yako,Jana sijalala nimekesha mpaka nagombana na mume wangu mwanga wa simu unamkera,Leo nimeamka nayo ndo nimeimaliza.
Hongera kwa kusoma, ila siku nyingine usimkwaze Mr mkuu
 
Asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…