Simulizi: Milango ya mafanikio

Pombe sio baba ama mama yako
 
Hizi ndio swaga za wanawake unapokuwa huna faida kwao.
Cathy hata hamu hanaye,tausi ,pia mama kulwa. Nadhani hapa Baba yake mdogo/mkubwa ndio anatakiwa aonyeshe uanaume ,hizi mambo Ni za kawaida. Huyo dada Ni mtu mzima ,binadamu wanahitaji nahitaji yao,wanawafungia wanadhani itakuwaje.
Rahma akaamua kuanika kila kitu wazi kisa dharau na biti za Samson Ila angeweza kumtetea.

Yaani akiachia umasikini uzidi kuenea kwa ndugu zake ,wakati Samson kitabu kinaweza kumfanya akabadili kwao mazima ikawa history.
Na Tena alivyo Kama mwarabu Koko atashobokewa kazini utashangaa anapendwa pendwa anapewa teuzi mpaka na sa100
 

Umechambua vyema sana hii simulizi mkuu, Samson mademu wote aliopita nao hawamtaki hata kumuona

Umenichekesha hapo kwenye kupewa uteuzi, yote kwa yote tusubiri mwendelezo
 

Umechambua vyema sana hii simulizi mkuu, Samson mademu wote aliopita nao hawamtaki hata kumuona

Umenichekesha hapo kwenye kupewa uteuzi, yote kwa yote tusubiri mwendelezo
Tunasubiria mie hapo nachenji mazima nakuwa sawa na mnyama anayetaka kufa.

Mama kulwa naye wivu wake tu hata Jose wake alitaka kumpeleka boarding akaona kama kijana wake atapata mzigo.
Wanawake bana anaweza akawa anamsomesha mdogo wake na mchepuko wake Ila akiwa anamsomesha mtt wa ndugu wa mme mke anaumia. Hii kitu niliijua nikiwa mdogo mno yaani mno.
 
Ipo kwenye jamii nyingi sana, unakuta mtu anasaidia mtu baki kuliko ndugu
 
ninachoamini Mimi Hadi kesho ni kwamba, Sam atakuja kuwa mmoja kati ya watu wa kutegemewa Kwa familia ya Mzee mgaya, hao kina Jose ukute ni mapunga tu na mama kulwa atakuja kuwatukana kama hajayazaa.


jambo la kuzingatia ni kwamba mtu ukiwa na matatizo makubwa ndo na aKili inatulia ikitafuta ufumbuzi ndo maana Sam hata haonyeshi kutishika na kufukuzwa kwake halafu kacheka kifedhuri. hii hatua nilipitia Mimi Kwa namna nyingine sio (umalaya) naonge Kwa uzoefu.


UKIWA NA KIJANA WA KIUME HALAFU HAONYESHI UMALAYA MUULIZE MAPEMA SANA IKIWEZEKANA MFUNDISHE KABISA.
 
ukiwa na matatizo makubwa ndo na aKili inatulia ikitafuta ufumbuzi
Wenyewe wanadai diamond inatengenezwa under pressure. Yaani lazima usimamishe. Mama kulwa anajua kabisa Ilo Mana Ni mtu afya. So Hilo nadhani sio ajabu. Alitakiwa Samson aende boarding sema tu mwanamke sio ndugu yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…