Simulizi: Milango ya mafanikio

huu wake umeanza mapema sana,mbaya zaidi anakula mashangazi
Jack Daniel kasema tuendelee kuufuatilia, halafu Samson ni Shababi kakulia Kijijini na ni bonge la HB mpaka Dada Cathy kasifia na kauelewa Muziki πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kama vile Samson ana mapepo eeh...yaani hata muda haujapita tangu ametoka kupewa wosia tayari keshaharibu, khaaaa
 
jack angesema sababu zakina cathy kumpenda sam maana kama vile kwenye shoo anakuwaga anaparamia tu
Najua mpo mnaopenda kuparamiwa ndio unajikubali kuwa unakubalika kwake Mana anaona wewe Ni chakula chake so na wewe una relax
 
Kamq vile Samson ana mapepo...yaani hata muda haujapita tangu ametoka kupewa wosia tayari keshaharibu, khaaaa
Utoto na ulimbukeni vilimsumbua, asijue anaweza kuhatarisha masomo na ndoto zake.
 
Utoto na ulimbukeni vilimsumbua, asijue anaweza kuhatarisha masomo na ndoto zake.

Balehe pia ilimtuma kufanya vitu out of his own control..! Although focus yake kwenye education ilibaki kuwa strong..!
Wote tumepitia hii foolish age na ni wachache sana walipita salama kabisa bila mikasa kama hii
 
Yaani unajikuta shule unaipenda sana tu, lakini pia huwezi kuacha mambo yetu licha ya kupigwa mikwara mingi
 
Yaani unajikuta shule unaipenda sana tu, lakini pia huwezi kuacha mambo yetu licha ya kupigwa mikwara mingi

me kipind icho mama mzazi alinikuta na kabint ndani afu mm sikupigwa akawa anapigwa yule binti
kisa alinizid umri
 
me kipind icho mama mzazi alinikuta na kabint ndani afu mm sikupigwa akawa anapigwa yule binti
kisa alinizid umri
Huenda alipima mizani yake, akahisi binti ndiye anayekushawishi, yote kwa yote ni foolish age huwezi ikwepa, ukifika hatua ya kujitambua mshukuru MUNGU
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…