Ukiwa humu kwenye thread nenda sehemu ya comment, huku chini yake kuna kuambatanisha picha na files bonyeza hapo then itakupeleka kwenye simu yako kuna alama like this = bonyeza yatakuja machaguo mengi but bonyeza download halafu chagua file ulokusudia click litajileta tu.....