Simulizi za style ya zile za kichina na kikorea online novels chapters maelfu, huyu mengi amefafana na baadhi ya hizo online novel kwa story zake alichoandika Kiswahili au kitranslate then anabadilisha.. pengine anakosea alichosema kabla kama mtaa wa Oysterbay.
Ila hongera kwake kwa kazi hii maana inahitaji muda, na anaona anauza. Labda akasitishe mahala amalize aanze simulizi lingine..