Simulizi: Lisa

Kwahiyo kwa sisi tulioonjeshwa humu...tunawezaje kuendelea na chapter zilizobaki za Lisa au kupata Hadithi nzima??
Kuwasiliana direct na mwandishi atakupa maelekezo au kusubiri Hadi afungulie ku-copy na kufoward meseji telegram tueze kutuma huku
 
Tafadhali tupe hayo mawasiliano mkuu...tuone vile tunaweza toboa hicho kikwazo
 
Hata kama niko nyuma sana....., huyu Mzee ndo Babaake Alvin Mzee wa mipango mingi.....

Namfananisha na Mzee mmoja kwenye Black List Mzee wa plan mingi Bwana Raymond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…