Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,664
- 25,847
- Thread starter
- #21
MWISHOOO
Kwa bahati nzuri usiku huohuo waziri mkuu aliruhusiwa na kurudi nyumbani, ama kweli siku hiyo illikuwa ni ya furaha sana kwa Matt baada kumuona baba yake akiingia nyumbani. "karibu baba" aliongea Matt na kumkumbatia mzee wake. Walifanya kasherehe kadogo cha kushukuru, usiku huo waliongea mengi sana mpaka waliporidhika kila mtu aliingia chumbani kwake kwaajili ya kupimzika.
Matt alikwenda chooni na kujimwagia maji na kurudi chumbani, "home sweet home" alijisemea na kuachia tabasamu. Alipanda kitandani kwaajili ya mapumziko, ghafla hali ya hewa chumbani ikaana kubadilika. Alianza kuhisi kama kuna mtu ndani ya chumba hicho lakini kila alipoangaza huku na kule hakuona mtu akajipa moyo "labda ni mawazo tu". "Matt" aliskia jina likiitwa, alishtuka na kuwasha taa lakini hakuona mtu yoyote, "Matt kwanini" aliskia tena sauti na kwa wakati mshale wa hatari ukagonga kichwani mwake. "mbona hii" sauti kama naijua hivi", "ndio unaijua" yeye alijisemea moyoni lakini lishangaa kujibiwa. "hahaha Matt mpenzi wangu" alisikia kicheko na maneno hayo, alianza kuhisi kuchanganyikiwa. Alikurupuka kitandani na kukimbilia mlangoni lakini cha ajabu hakuona mlango, "unakwenda wapi unadhani" alisikia tena na wakati huu moja kwa moja akaitambua sauti hiyo kuwa ni ya Jestina. "haiwezekani hata kidogo" alisema kwa nguvu kidogo, "kwanini isiwezekane we ulidhani utanifanyiwa unyama ule halafu uendelee kuponda raha za dunia bila kuadhibiwa" alijiu Jestina na kumpitia Matt kwa nyuma,Matt aligeuka lakini hakuona kitu.
Alijaribu kila njia kutoka ndani ya chuma chake lakini juhudi zake ziligonga mwamba, alianza kupiga kelele kwa nguvu "hazitakusaidia hizo" aliongea Jestina na kumpitia mbele kwa kasi ya ajabu sana na kupiga kikumbo kilichomtupa huko. "Jestina tafadahali nisamehe" aliongea Matt huku akijifuta damu zilizokuwa zikitoka puani, "wewe mbona hukuniachia nilipokwambia uniache" aliongea Jestina na kupiga kofi zito la mgongo. "nakufaa, Jestina nisamehe mpenzi wangu" yalimtoka maneno hayo Matt bila kutarajia. "nyooo nani mpenzi wako, kweli mtu anaweza kumbaka mpenzi wake na kisha kuwaambia marafiki zake wajisevie" aliongea Jestina na kumtokea mbele katika umbile la kutisha sana. "nakubali nimekosa nisamehe maana hata mungu anasamehe" aliongea Matt huku akipiga magoti akionyesha kuomba msamaha, "leo unamkumbuka mungu wakati unanibaka ulikuwa hujui kama kuna mungu wa kuogopa" alijibu Jestina na kumkaba kooni ghafla akatoweka nae na kutokea katika kaburi lake. "siku ile si ulinifanya kwa nguvu bila mimi kutaka, sasa leo nataka tufanye tena kwa ridhaa yangu" aliongea Jestina na papo hapo nguo zake zikachonyoka mwilini na kumuacha akiwa uchi. Kwa kweli mwili wake ulitisha sana, ulipambwa na vidonda vilivokuwa vinatoka damu na usaha mwingi sana. Pia ulitawaliwa na funza wengi sana kiasi cha kumfanya aonekana kama kaota nyasi mwilini, "sasa ole wako ushindwe kufanya ulichokifanya siku ile" aliongea Jestina huku akimfata Matt ambae wakati huo alikuwa akijaribu kutafuta njia ya kukimbia lakini kutokana na kiza hakufanikiwa. "Jestina nisamehe......nisamehe sitarudia tena" aliendelea kuongea Matt ambae alikuwa akiishika suruali yake ili isivuke lakini wapi ilichojoka katika mazingira ya kutatanisha. "siku ile si uliona raha kunidhalilisha tena kwa kujifanya kidume na kuwaalika wenzako wanifanyie uchafu" alizidi kuongea Jestina wakati huu tayari alikuwa kashamlaza Matt chini. Kila damu zilipomdondokea Matt alipiga kelele kuashiria kuwa alikuwa akipata maumivu makali sana, na kila ilipondokea damu palifoka moshi. Katika hali ya kawaida hata uwe rijali vipi lakini katika hali kama hio uume hauwezi simama.
Jestina aliuangalia uume wa Matt na papo hapo ulisimama na bila kupoteza muda aliukalia. Matt alianza kupiga kelele kwa nguvu huku akijaribu kumtoa lakini wapi ilikuwa ni sawa na kutaka kuuhamisha ukuta. Jestina alinyanyuka huku uume wa Matt ukionekana kuungua sana, alimnyanyua kwa nguvu na kumrusha katika mti. Kabla hajakaa sawa alimnyanyua na kumning'niza katika mti. "nataka uyahisi maumivu nilioyapata mimi wakati ule na pengine utayapata zaidi ya yale" zilitoka kucha ndefu mkononi, zilikuwa zimechongeka sana na zilikuwa ngumu mithili ya chum. Taratibu alizunguka nyuma na kumchoma chini shingo na kuanza kuteremsha mkono chini kama vile anachuna ngozi ya mnyama. Maumivu yalikuwa makali sana kiasi cha kama ingekuwa anafanyiwa na mu wa kawaida angekuwa kashaazimia tayari lakini halikutokea hilo. Matt alipiga kelele sana akiomba msaada lakini wapi hakukuwa na yoyote wa kumsaidia. Jestina aliendelea kumchanja mgongoni mpaka mgongo wote ulirowa damu, baada ya hapo alimgeukia mbele na sura yake ilizidi kuwa mbaya. "kama ungenisikiliza siku ile tusingefika hapa leo" aliongea Jestina huku machozi ya damu yakimtoka. Alimshika kichwa na kumfungua mdomo kisha akamtemea kitu kama makohoo hivi na kumfunga mdomo na pua jambo ambalo lilimfanya ameze bila kutaka. "tutakutana kuzimu huko" aliongea Jestina kutoweka eneo hilo, ghafla Matt alianza kutapika damu nzito ikiamatana usaha pamoja na funza.
"Alwin nimekuja hapa kukuaga kwani muda wangu wa kuwepo hapa umekwisha" aliongea Jestina baada kumtokea Alwin, "tutakumis sana kwa kweli" aliongea Alwin huku machozi yakimtoka. "utanisahau tu, nina imani Miryam atakufanya uwe mume bora kabisa" aliongea Jestina huku akianza kutoweka taratibu, "utarudi kama mwanangu" aliongea Alwin huku akipunga mkono. Mwisho kabisa Jestina alitoweka kabisa, "nenda kwa amani Jestina" aliongea Alwin huku akitabasamu. Asubuhi mapema televisheni zote zilitangaza kifo cha Matt ambae alikutwa ametapika mpaka utumbo, habari hiyo ilipelekea waziri mkuu kupata shimikizo la damu lilisababisha kifo chake.
*************************************
Mwezi mmoja sasa umepita na hakukuripotiwa mauaji yoyote yale, na hali ya amani ilirudi katika mji wa Mashvile. Harusi ya Alwin na Miryam ndio iliopmba vichwa vya magazeti huku kila mtu akialikwa kuhudguria harusi hiyo.
"bwana Alwin umekubali kuishi na Ms Miryam kama mke wako halali wa ndoa katika dhiki na faraja"
"nimekubali"
"Ms Miryam Alexander umekubali kumpokea bwana Alwin Kelvin kama mume wako halali wa ndoa katika dhiki na faraja"
"nimekubali"
"unaweza kumbusu bibi harusi"
Hapo Alwin alimsogelea Miryam na kumbusu, ukumbi mzima ulisimama na kuashangilia. Jioni yake ilifanyika sherehe kubwa sana huku watu kadhaa wakuwa wakuhudhuria ghafla hiyo. "Alwin mwanangu akirudi nyumbani na kipele tu utawajibika" aliongea Profesa na kugonga glass na Alwin. "ah usijali, hata mbu akimgusa mke wangu atawajibika kama walivowajibika wengine" alijibu Alwin na kutabasamu kidogo. Sherehe ilimalizika na maharusu hao wakapelekwa nyumbani kwao, usiku huo ulikuwa ni usiku wa pekee kwa wapenda nao hao. Ulikuwa ni kihistoria katika mapenzi yao, mapenzi yalinoga kupita maelezo, baada ya muda walikwenda hospitali na majibu yalikuwa mazuri sana. Tayari Miryam alishaabeba mimba, ilikuwa furaha kubwa sana kwa familia hiyo ya wazazi vijana. Miezi ilikatika na hatimae mwezi wa kijufungua ulifika, na Mungu aliitika kilio chao. Mtoto wao wa kwanza alikuwa ni mwanamke na kama walivyokubaliana walimpa Jina la JESTINA. Baada kuruhusiwa kutoka hospitali, moja kwa moja walikwenda wazazi wa Jestina kwa ajili ya utambulisho rasmi wa Jestina mdogo.
Wazee hao ambao tabasamu lao lilipotea baada kuondokewa na mtoto wao wa pekee lilirudi baada kupewa mtot huyo wambebe. Walishindwa kujizuia, machozi yaliana kuwatiririka kwa furaha, "ama kweli Mungu ndie mjua kila kitu, na hakutokei kitu isipokuwa kuna sababu nyuma yake. Umeona mke wangu Mungu kamchukua Jestina wetu ili amlinde aibu kwa walimwengu lakini angalia sasa ametupa watoto wengine wawili na mjukuu juu" Aliongea Mr Hendrix huku akimwangalia mkewe ambae sura yake baada muda mrefu kupoteza tabasamu sasa limerudi upya. "wanangu mukihitaji msaada wowote ule iwe ni ushauri au jambo lolote lile msisite kutuambia, na msiache kutulea mjukuu wetu tumuone" Aliingea mke wa Mr Hendrix.
******************************************
IN GOD WE TRUST
MWISHO
Funzo: Tujifunze kuheshim hisia za mtu hata kama imetokea humpend basi usimuonyeshe dharau, kiburi na kejel kana kwamba amekosea kukupenda, lakini pia tusidhulumu uhai wa binadamu wenzetu kwa sababu mbali mbali ni damu itakulilia mpaka unaenda kaburini na wala hautaish kwa raha maisha yako yanakuwa yamejaa woga muda wote kumbuka malipo ni hapa hapa duniani