Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
1.the ruins-kuna majani yanauwa watu humu ni noma.yanakuingia mwilini au yanakuviriga kama nyoka
2.untraceable-kuna jamaa anateka watu afu anarekodi kwa video camera.kisha anarusha kupitia website yake.vile watu wanavotembelea hyo site ndivyo yule mateka anakufa haraka